Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Hapana kaka angu sijadangany Jana nimepata Maokoto Ya mshahara Nashukuru Mungu ila wangeongeza siku ningekufa...
Ila wengine wa NMB wamelipwa leo kwa halmashauri yetu na wote wameshalipwa kwetu sasa sjui kwa halmashauri yako uliza kwa watu wengine unaowafahamu mshahara jana ulitoka
Niko serikali kuu CRDB mpaka sasa mshahara hakuna

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada si umeniamini nilikwambia kufa hutakufa na hata ukitoka tarehe 26 bado hutakufa niamini
 
wanajeshi wamepewa toks jana nafikiri hawa ambao wanasema wamepewa ni askari ila sisi wa halmashauri ngoma ngumu
 
Back
Top Bottom