Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

Ule ugeni wa mabalozi ulitisha, ulikuwa kama kinga kwa yeyote angejaribu kuvuruga uchaguzi
 
Uchaguzi mkuu nao uwe na ugeni wa nguvu, macho kodo hakuna kuiba kura wala kuvuruga uchaguzi
 
Haters mtakufa kwa Presha mwaka huu
Open your moth
Haters mtakufa kwa Presha mwaka huu
My dear friend usihangaike na mtu kama mimi wewe hangaika na kuondoa mpasuko ndani ya chama chenu.Vinginevyo mtajikuta hamna mbele,CCM itakubatiza sio kwa maji bali kwa lava ya moto wa volcano.

Endeleeni kujiridhisha kama ninyi ndio TID, lakini vipigo vitakatifu vinawaandama,hakuna mambo ya kesi ya ngedere kumpelekea Trump mtaambiwa ni magaidi.
Love in the air.
 
Ficha upumbavu wako huo, CCM ni mwamba ishtuke kwasababu ya huyo kibaraka kilema? Huyo ni nyau tu akienda kitoto hatamaliza ht hyo miaka yake. Acha utoto we bwege
 
Wanachama wa chadema wameona uchaguzi wao wa viongozi wa juu ulivyofanyika. Kwenye kuchagua wabunge na madiwani wa kukiwakilisha chama chao nao wafanye vilevile ili atakayeshindwa aone laive ameshindwa. CCM nao waige mbinu za kufanya uchaguzi wa wazi na haki, aliyeshindwa aone kashindwa kweli
 
Kamdomo kanaruhusu hisia.,Huenda ni yule nani wa kijani ambaye ni mbunge hakusimama kushangilia kupitishwa jina la mwenyekiti wa kijani kuwa mgombea wa urais 2025. Hata hivyo hakuwa amevaa sare ya chama.
 
Ficha upumbavu wako huo, CCM ni mwamba ishtuke kwasababu ya huyo kibaraka kilema? Huyo ni nyau tu akienda kitoto hatamaliza ht hyo miaka yake. Acha utoto we bwege
Utakufa wewe huku Lissu akiwa Rais wa JMT.

Naona somo alilowapa Mungu kwa kumponya Lissu na marisasi yenu halijawaingia vizuri. Sasa endeleeni kucheza na mpakwa mafuta wa Mungu muone matokeo yake
 
atachukia sana comment hii akiisoma- leo pilau hailiwi 🙂
 
Hizi ni ramli tu!

CCM itapasuka kwa kujipasua yenyewe, haiwezi kamwe kupasuliwa na waropokaji wasio na facts.
 
Hakuna mwaka mrahisi sana wa kufanya mavuno shambani kama mwaka huu, huu mwaka wakulima wakishindwa kuvuna mchicha ndo basi
 
Sasa Mkuu Sblandes shida yako ni nini? Acha chama kife wewe
ufurahi.
 
Sijui kama wanaweza kujiamini namna hiyo wagombea wa CCM
 
Hao asilimia 49 ni watu kidogo sana ukilinganisha na watanzania wengi wanaomtaka Lisu, hivyo hakuna mpasuko wowote utakaotokea. Hao wapiga kura hata wakiondoka wote waende mbogamboga hakuna athari yoyote itakayotokea. Lisu ni mzimu unaoishi. BRAVO LISU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…