Kama umemaliza kwa sasa basi karibu sana mtaani.

Jitahidi kuomba kazi kadri ya uwezo wako japo huku nje ni kugumu sana ila usikate tamaa kwa sababu sio kila mtu lazima apitie magumu ila usiwe na matarajio makubwa.

Kubali kwamba utakutana na disappointment nyingi zaidi na mambo ya hovyo ila ni safari ya utafutaji

Good luck 👍
 
Kwa sasa nimeamini ajira rasmi hamna, kuna jamaa yangu aliacha kazi mahali akawa anatafuta sehemu nyingine, akapata kazi ya take home 800k akasema ngoja niangalie yenye maslahi zaidi. Naamini kabisa anajuta kuachia ile nafasi, it's been months toka akatae ile kazi.
 
Habari za mchna kuna nafsi za trainee zinahitaj watu

Wanahitajika trainee wa jikon 10
Wakiume 7
Wakike 3

Hotel ipo shamba kulala hukohuko na unalipwa kwa mwezi posho nzuri
Kwayoyte ambye yupo tayar interested atupigie simu kwa number zifuatazo

0716454882
0686 587 266
 
MUNGU akuona na kukusaidia my dia 🙏🏾
 
Jamaa yako hana exposure na job seeking life. Anakataa kazi xa laki 8 wakati wenzie tmh.. pale masaki wanatimuliwa kila siku kwa mishahara ya laki 5 tu na wanasaga meno kwelikweli pale
 
Umefanya haraka sana kupaniki.. mm pamoja na kuwa na mwaka wa pili huu mtaani nishakula vumbi la kutosha. Hata vyeti hVijatoka sio
 
Jiajiri, au tafta connection ila usikubali kuliwa Tako ndo upewe connection.
 
Habari jenifa naomba weka username ya instagram au tiktok tuweze kuona content zako ili iwe rahis kukuita kwenye interview
 
nitafute tufanye kazi
 
Hamna kazi humo nimejarb kutuma maombi lkn cha ajab siku ya pili wamejib oh tumekuchagua kwny usaili Ila unatakiw sjui ulipie usaili sjui hotel sjui Kula bla bla kibao sizizoelewek. KiUFUPI NI MATAPELI HAWA
Sikuwahi kufuatilia mkuu maan nimeitoa huko mjini wasapu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…