Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Muache mtoto tafadhali
Nyie mmekubali matusi yake?😂Huu ukatili sasa😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache mtoto tafadhali
Nyie mmekubali matusi yake?😂Huu ukatili sasa😜
😂 zingatia comment yanguNyie mmekubali matusi yake?😂
Upload CV yako LinkedlnHello Tanzania naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es salaam NATAFUTA kazi🙏🙏0713776534 for normal calls and WhatsApp
Jinsia ya kike kama unatafuta maisha alafu unabana utakwama! Atleast toa kauli ya kutuvutia sisi mabaharia vinginevyo kwa kauli hii wengi umetotoa mood!Ha ha daahh hapana mkuu sijaja hapa kudanga haya ni maisha tu nimekuja kuomba msaada wa ajira kama una kaz plz nisaidie..
Kuwa serious na maisha mkuu.... jitahidi kichwa chako kisiwaze ngono muda wote.Haya ni maisha bro ..watu wanasota kitaa balaaTangazo lako nimelipenda limekaa kimkakati saana ha ha ha haaaaa subiri wanakuja inbox
HahahahaTangazo lako nimelipenda limekaa kimkakati saana ha ha ha haaaaa subiri wanakuja inbox
Una tako kubwa?Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu.
Nipo hapa hapa Dar es Salaam
NB: Nje ya masuala yangu ya ujasiriamali pia nina kipaji kutengeneza maudhui mitandaoni (content creator) na uanamitindo na urembo.
Pia, kama kuna mtu ana namna anaweza kuniunganisha na masuala haya ya urembo na uanamitindo nitashukuru sana kwa kweli hali ya kukaa bila kuwa na ishu ya kuingiza pesa ya ziada inanipa depression kubwa.
Yeyote atakaeguswa na ombi langu basi anicheki DM 0713776534 WhatsApp and normal calls
Asante.
portal.ajira.go.tz
Hello naitwa Jenipha Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam Degree ya uhasibu.
Natafuta kazi😭😭😭jaman nateseka.
Naombeni msaada please 🙏
Yaani Ile kupewa uuke Maisha umeshatoboa. Ke Anazaliwa na thamani Ila we as men we've to fight to forge our value. That's why with time tunakuwa na value wale walikuwa wanakukataa wanaanza kujileta kwako.Acha kutia huruma kazaa......kulikuwa kuna ulazima wa kusema msichana hahahaha
Yaani Ile kupewa uuke Maisha umeshatoboa. Ke Anazaliwa na thamani Ila we as men we've to fight to forge our value. That's why with time tunakuwa na value wale walikuwa wanakukataa wanaanza kujileta kwako.Acha kutia huruma kazaa......kulikuwa kuna ulazima wa kusema msichana hahahaha