Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

Uko sawa, ila as far as kuolewa imekua probability, ndiposa kujenga career yake inakua la maana zaidi ikitokea coincidence ndoa imepatikana ni vizuri ila aendelee kuweka sawa mambo yake ya kielimu na future etc.
 
Mtoto anataka kuhegedwa mambo ya vitabu hayanaga mwisho
 
Kwani kuna baba mwenye mtoto wa kike ambaye hataki mtoto wake anunuliwe chips na akagegedwe? Huyo atakuwa baba wa ajabu sana. Hao ndio wanaishia kuwagegeda watoto zao.
Kumbe ni wewe, nilitaka nikujibu ila nilipoona ni wewe nayamaza tu! Unajua aftermath ya gegedo wewe? Ni mzazi yupi anapenda kutunza mgonjwa wa Ukimwi ulotokana na chips; kulea mtoto ambaye hakutoka katika sperm ya ukoo wake au kuwa na binti anaitwa singo maza! Wakati mwingine tafuta K ila usijitoe ufahamu!
 
Hahaha itakuwa. Yaani niwe na mtoto wa kike alafu sioni vijana vinamnyemelea wala kumvua chupi nitasononeka sana
Uko sawa, ila as far as kuolewa imekua probability, ndiposa kujenga career yake inakua la maana zaidi ikitokea coincidence ndoa imepatikana ni vizuri ila aendelee kuweka sawa mambo yake ya kielimu na future etc.
Angalau kuna wanaojielewa! Kuna vitu vilivyo chini ya uwezo wako na ambavyo havipo. Elimu ipo kwa kiasi chake chini ya uwezo wangu. Kumlipia kusoma ipo chini ya uwezo wangu kama baba; lakini utashi wa kusoma haupo chini yangu upo chini yake. Kupata mtu wa kumuoa; hili halipo chini yake au chini yq mzazi bali muoaji. Ndiyo maana kijana wangu wa kiume natamba naye kuwa ukitaka kuoa abcdef, kwa binti kwa hali ilivyo huwezi hata akikuletea akina na mzabzab utamkubali shingo upande
 
Ni demonic possession ikewakamata hao.
Inawatafuna kizazi chao. Wajinasue kutoka matambiko ya wazazi wao
 
Unakosea.
 
Kwani akinileta mie mzabzab shida iko wapi cha msingi sii kapata mume wakumgegeda kuliko kukaa na stress
 
Ndoa ni stara kwa mwanamke.

Ndio maana wanashauriwa kua wapole, waziojikweza, wasimpandishie sauti mume, wasiwe na kiburi nk coz faida kwao ni nyingi mno.
Kweli kabisa wao ndio wanafaidika sana...wanalishwa valishwa zalishwa pokea zawadi na kugegedwa. Lakini sasa walivyo kichwa ngumu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kuolewa ni sheria lkn nowdays tunapenda harusi bhna sijui sendoff shower nn sijui kitchen party wedding dinner๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚baada ya mwaka tu ndoa km ilifungwa miak 50 iliyopita ๐Ÿ˜‚
Babu na bibi yangu waliona muda sana, wakaja kubariki ndoa na kasherehe walikokamudu wao bila michango baada ya kuishi miaka 37 ya ndoa.

Wadada ndo wanapenda harusi saana
 
Sasa mtoto wako anapigwa miti kwa sababu ya chips huo sii uzembe wako wewe kama mzazi.
 
Babu na bibi yangu waliona muda sana, wakaja kubariki ndoa na kasherehe walikokamudu wao bila michango baada ya kuishi miaka 37 ya ndoa.

Wadada ndo wanapenda harusi saana
Nimemaanisha baada ya Harus kuisha watu hawapendani Tena
 
Babu na bibi yangu waliona muda sana, wakaja kubariki ndoa na kasherehe walikokamudu wao bila michango baada ya kuishi miaka 37 ya ndoa.

Wadada ndo wanapenda harusi saana
Kuhus harusi hautuambii kitu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sahiz mwambie mdada natka kukuoa hizo hekaheka zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚utashangaa na rohoyako
 
Moja ya chanzo cha stadi za maisha ni familia, na ndiyo chanzo chenye nguvu zaidi, Mungu atupe mwisho mwema.
 
Kuhus harusi hautuambii kitu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sahiz mwambie mdada natka kukuoa hizo hekaheka zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚utashangaa na rohoyako
Ndo kitu kinafanya ndoa zivunjike coz mnajiandaa zaidi na harusi na sio ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ