Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema:

Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.

Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo.

Serikali inatoa wito kwa CNN kuzingatia maadili na weledi na kujiepusha kuchapisha habari bila kufuata vyanzo halali na rasmi, kupotosha na kuzua taharuki.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Ntakuwa wa mwisho kuamini jamaa hawa kuchukua Initiatives yoyote kwenye kupata mrejesho toka kwenye uongozi husika kabla na baada ya report yao. Ngoja tuone Larry atajibu nini mana baada ya huu mrejesho
 
Vyanzo halali ndio vilivyofanya mauaji, sasa wanajiandaa kutoa habsri ya uongo. CNN wameshatupa ripoti ya kweli.
 
Ili kuja na "detailed" verification njia ni ile ile:​
-Geolocated video analysis​
-Forensic analysis​
-First hand account from witnesses and victims​
-Victims document​
-Satellite images analysis​
-Drone video analysis​
Ukweli haupambwi, kama kuna maslahi binafsi ni hakika yatajidhihirisha yenyewe.​
Maarifa ya "remote sensing and imagery" ni muhimu sana katika zama hizi.​
​
 
Tatizo la kuwa muongo unadhani unaweza kudanganya kila kitu na kila mtu..
 
Uhakiki wenyewe ndio huu waliosema hii ni CCTV footage ya gari lililomteka Mo Dewji?
 
Nadhani CCN wameisaidia Serikali mahali pa kuanzia! Sema tu kinachoifanya seriakli ianze kutoa povu,ni kwa sababu CCN wameharibu mpango wake wa kudanganya umma kuhusiana na Mauaji yaliyofanywa na vyombo vya usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…