Hajaandika yeye, kuna kitu kinaitwa investigative journalism, ni team inachala taarifa zote, before reportKwa mara ya kwanza katika historia CNN inajibiwa na kufunzwa juu ya uandishi wenye kuzingatia haki ya kusikilizwa na utu wa mwanadamu
Wewe matako hebu tupumzishe na mavi yakoKwa mara ya kwanza katika historia CNN inajibiwa na kufunzwa juu ya uandishi wenye kuzingatia haki ya kusikilizwa na utu wa mwanadamu
hamna cha ICC weweCNN balaa nakwambia.
Watu wana ushahidi wa Forensic + Geodata.
Jeshi zima la Polisi Tanzania mpaka TISS na JWTZ hakuna expert hata 1 wa Geodata.
Kwanza wanaona nyota tu alafu pili CNN sio Millard Ayo. Dunia nzima imeona na imeanza kudai Independent International investigation.
Walikuwa wanadhani ICC ni ndoto ila kadri siku zinavyozidi kwenda wameanza kuona kumbe sio ndoto tena its a reality.
Ninyi mnalipwa kuingiza vijana barabarani halafu mpate videos za kutengeneza documentariesChomoa gunzi ulilokalia pengine akili zitakurejea..... ! Damu mlizomwaga mtazilipa ! Mnalipwa 7k per day kupush Reli ?
D9
Mjaribu kuficha Upumbavu wenu kwenye vitu vinavyo wazidi Uzito!!Kwa mara ya kwanza katika historia CNN inajibiwa na kufunzwa juu ya uandishi wenye kuzingatia haki ya kusikilizwa na utu wa mwanadamu
Wameitwa waje waoneshe mass graveTofauti ni kuwa BBC na Aljazeeera waliandika habari tu.
CNN wamefanya an in depth documentary ikiyoonesha mpaka mass grave location.
Hii ni some ICC level evidence documentary.
Una matokeo ya form 2 ya lary madowo?Mjaribu kuficha Upumbavu wenu kwenye vitu vinavyo wazidi Uzito!!
Hii ndiyo shida ya Akili ndogo kuongoza Akili kubwa
Mmekuwa Wapumbavu wakupindukia
Ulitarajia jipya Kwa msigwa ???Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo.
Serikali inatoa wito kwa CNN kuzingatia maadili na weledi na kujiepusha kuchapisha habari bila kufuata vyanzo halali na rasmi, kupotosha na kuzua taharuki.
View attachment 3506345
By refusing to give their side of the story, these mazafakas thought CNN would just shelve the damaging report! Imekula kwao!Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo.
Serikali inatoa wito kwa CNN kuzingatia maadili na weledi na kujiepusha kuchapisha habari bila kufuata vyanzo halali na rasmi, kupotosha na kuzua taharuki.
View attachment 3506345
Alidhani CNN ni kama Balile na Ayoub Rioba😂Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo.
Serikali inatoa wito kwa CNN kuzingatia maadili na weledi na kujiepusha kuchapisha habari bila kufuata vyanzo halali na rasmi, kupotosha na kuzua taharuki.
View attachment 3506345
Msomi according to our governmentMsigwa ni msomi?
Duuh .njaa yake Kali sana.Msomi according to our government