PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi
Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Duuh .njaa yake Kali sana.
Baada ya kujibu hoja analeta vitisho Sasa CNN uongo wao upo wapi?
Ndio ajabu yenyewe hiyo hoja inapingwa na propaganda. Sijajua serikali inatuonaje wananchi? Mungu anawaona na unafiki wao. Waache kutumia vitabu vitakatifu pale wanapoapa.
 
Kutetea jambo unalojua lina walakini yataka kujitoa hasa, yaani huyo jamaa anajua kabisa what happened ila ndo yupo upande huo no way out!.
 
Ndio ajabu yenyewe hiyo hoja inapingwa na propaganda. Sijajua serikali inatuonaje wananchi? Mungu anawaona na unafiki wao. Waache kutumia vitabu vitakatifu pale wanapoapa.
Wanataka kuficha UKWELI.matukio yote watu wanayo na ndio wamemtumia madowo.ila bado Wana kaza mabichwa.makosa yashatokea ni kurekebisha sio kuwapiga watu beat haisaidii.ukweli utabaki pale pale watu wameuliwa kikatili.hyo ripoti ya madowo ni kuthibitisha tu.
 
Back
Top Bottom