Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliuCNN wajitokeze hadharani waombe radhi kwa ukatili walioufanya
View: https://m.youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliuCNN wajitokeze hadharani waombe radhi kwa ukatili walioufanya
Mwambieni Larry madowo serikali imemwambia aje afanye nao mahojiano,awapeleke na kwa kondo akaoneshe kaburi la halaiki,tingatinga la kufukua watampaAcha ujinga wako wewe !!
CNN wameitwa waje,Ili waende makaburini kwa kondo wakafukue kaburi la halaikiNadhani CCN wameisaidia Serikali mahali pa kuanzia! Sema tu kinachoifanya seriakli ianze kutoa povu,ni kwa sababu CCN wameharibu mpango wake wa kudanganya umma kuhusiana na Mauaji yaliyofanywa na vyombo vya usalama.
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliuMwambieni Larry madowo serikali imemwambia aje afanye nao mahojiano,awapeleke na kwa kondo akaoneshe kaburi la halaiki,tingatinga la kufukua watampa
Before Huo uharamu mliouita uchaguzi kufanyika kati ya vyombo vya habari mlivyovizuia kuingia kwa ajili ya kufuatilia huo uchaguzi haramu na CNN ni mojawapo, sasa mmewazuia kuingia kufuatilia uchaguzi ndiyo mngewapa nafasi ya kuongea nao? Mbona wanasema mliwakatalia katakata which explains kwamba hapa mnahaha hamjui pa kushika ndiyo maana mnaanza kujibaraguza na kuongopa eti CNN hawakuwatafuta, mlidhani watakosa kabisa vyanzo vya kupatia habari wakati raia wema wapo wengi.Kuhusu serikali kutoa ufafanuzi juu ya ripoto ya CNN, msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishingwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama Cnn kufanya makosa ya kiweledi kama haya
Serikali inatoa wito kwa cnn kuzingatia maadili na weledi na kujiepusha kuchapisha habari bila kufuata vyanzo halali.
Vyanzo halali vya makalio yako wewe Msigwa. Mnaua watanganyika maskini, mnaendelea kusababisha umaskini kwa watanganyika, mmeua baba zao, mmeua mama zao, hao watoto waliobaki wataishije kwenye hii trauma? Shame on you, wewe na huyo bi kizimkazi...aka CHURA BINTI KIZIWI-Kitambi au Chupaki familia zenu hazina shida, tutapigana hadi mwisho wetu, hadi udhalimu uishi na nchi yetu irudi kama kawaida. Mababu zetu walipigana na wajerumani bila support and they inflicted a lot of pain to those colonialists, na sisi tutahakikisha wale mliowaua mtalipa damu zao hata iwe lini. HATUKUBALI, KISASI NI LAZIMA, MKIPIGANA KWA MIKONO, NA SISI TUTAPIGANA KWA MIKONO, MKITUPIGA KWA BUNDUKI NA SISI TUTAWAPIGA KWA BUNDUKI. Hatujali tena.Kuhusu serikali kutoa ufafanuzi juu ya ripoto ya CNN, msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishingwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama Cnn kufanya makosa ya kiweledi kama haya
Serikali inatoa wito kwa cnn kuzingatia maadili na weledi na kujiepusha kuchapisha habari bila kufuata vyanzo halali.
Wee jamaa!Kwa mara ya kwanza katika historia CNN inajibiwa na kufunzwa juu ya uandishi wenye kuzingatia haki ya kusikilizwa na utu wa mwanadamu
Tofauti ni kuwa BBC na Aljazeeera waliandika habari tu.Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.
Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.
CNN balaa nakwambia.Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.
Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.
Wafiwa wanaweza kuwadai fidia kubwa sana CNN kama wakipata mwanasheria mzuriWee jamaa!
Angalia hii afu unitofautishie kati ya Idd Amin na naniliu
View: https://m.youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
Siyo walioua washtakiwe? Wafiwa wanataka haki ya ndugu zao ipatikane!Wafiwa wanaweza kuwadai fidia kubwa sana CNN kama wakipata mwanasheria mzuri
Hapa ndio tunaanza kijua uongo uliotengenezwa
Wafiwa wa nchi jirani au wafiwa wa vibaka?Wafiwa wanaweza kuwadai fidia kubwa sana CNN kama wakipata mwanasheria mzuri