Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nadhani CCN wameisaidia Serikali mahali pa kuanzia! Sema tu kinachoifanya seriakli ianze kutoa povu,ni kwa sababu CCN wameharibu mpango wake wa kudanganya umma kuhusiana na Mauaji yaliyofanywa na vyombo vya usalama.
CNN wameitwa waje,Ili waende makaburini kwa kondo wakafukue kaburi la halaiki
 
Before Huo uharamu mliouita uchaguzi kufanyika kati ya vyombo vya habari mlivyovizuia kuingia kwa ajili ya kufuatilia huo uchaguzi haramu na CNN ni mojawapo, sasa mmewazuia kuingia kufuatilia uchaguzi ndiyo mngewapa nafasi ya kuongea nao? Mbona wanasema mliwakatalia katakata which explains kwamba hapa mnahaha hamjui pa kushika ndiyo maana mnaanza kujibaraguza na kuongopa eti CNN hawakuwatafuta, mlidhani watakosa kabisa vyanzo vya kupatia habari wakati raia wema wapo wengi.
 
Vyanzo halali vya makalio yako wewe Msigwa. Mnaua watanganyika maskini, mnaendelea kusababisha umaskini kwa watanganyika, mmeua baba zao, mmeua mama zao, hao watoto waliobaki wataishije kwenye hii trauma? Shame on you, wewe na huyo bi kizimkazi...aka CHURA BINTI KIZIWI-Kitambi au Chupaki familia zenu hazina shida, tutapigana hadi mwisho wetu, hadi udhalimu uishi na nchi yetu irudi kama kawaida. Mababu zetu walipigana na wajerumani bila support and they inflicted a lot of pain to those colonialists, na sisi tutahakikisha wale mliowaua mtalipa damu zao hata iwe lini. HATUKUBALI, KISASI NI LAZIMA, MKIPIGANA KWA MIKONO, NA SISI TUTAPIGANA KWA MIKONO, MKITUPIGA KWA BUNDUKI NA SISI TUTAWAPIGA KWA BUNDUKI. Hatujali tena.
 
Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.

Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.
 
Kwa mara ya kwanza katika historia CNN inajibiwa na kufunzwa juu ya uandishi wenye kuzingatia haki ya kusikilizwa na utu wa mwanadamu

 
Tofauti ni kuwa BBC na Aljazeeera waliandika habari tu.

CNN wamefanya an in depth documentary ikiyoonesha mpaka mass grave location.

Hii ni some ICC level evidence documentary.
 
CNN balaa nakwambia.

Watu wana ushahidi wa Forensic + Geodata.

Jeshi zima la Polisi Tanzania mpaka TISS na JWTZ hakuna expert hata 1 wa Geodata.

Kwanza wanaona nyota tu alafu pili CNN sio Millard Ayo. Dunia nzima imeona na imeanza kudai Independent International investigation.


Walikuwa wanadhani ICC ni ndoto ila kadri siku zinavyozidi kwenda wameanza kuona kumbe sio ndoto tena its a reality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…