Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

Kuombwa msamaha na nani? Mkuu uhalifu upo toka zamani na utaendelea kuwepo, tatizo ni kutaka kufanya kwamba kila tukio la uhalifu kwenye utawala wa Magufuli basi ni Magufuli ndio kafanya yani mkikuta maiti huko sijui wapi ni Magufuli sijui mtu akitekwa ni Magufuli, sasa hiyo ni akili ya ajabu sasa.
 
Sio Badiri
Ni Badili

Shuleni mmeenda kusomea Ujinga?
CC FaizaFoxy
 
Huo ndio ukweli wenyewe.kalemani alikataa kuwapandishia bei ya kuunganishwa umeme wananchi na kwa kuwa bosi wa sasa anaendesha na wapiga madili jinsi wanavyotaka akamfukuza na kuweka waziri wa hovyo kuwahi kutokea tz
 
..nilikuwa nachomekea tu.

..Kalemani aeleze CCTV camera zilirekodi nini siku aliyoshambuliwa TL.
Area D yote cctv camera ikobkwa kalemani peke yake wale wengine zinasemaje? Je sengia
 
Halafu ujue huwa nakuheshimu sana mkuu, lakini hiki kitendo cha kutokuheshimu nyuzi za wengine sio sahihi, kama vipi anzisha Uzi wa hill la kamera
 

..msamaha wataomba waliotenda uovu dhidi ya wenzao.

..mfano mzuri wa nini kifanyike au utaratibu wa kufuata ni Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Afrika Kusini iliyoongozwa na Askofu Desmond Tutu.

..Ni kweli kwamba unyama na ukatili ulianza kabla ya Magufuli.

..Lakini ni ukweli vilevile kwamba kwa upande wa Tanganyika Magufuli ndiye Raisi mkatili kuliko wote.

..Upo uwezekano kuwa utawala wa Sheikh Abeid Karume ulitenda uovu kuliko utawala wa Magufuli.
 
Drive wa Liso na Kalimeni wote wasimame pamoja. Hiyo unaionaje

..Naunga mkono dereva kuchukuliwa maelezo.

..Polisi wa Tz wafuate taratibu za kuchukua maelezo ya dereva ambaye kwa sasa yuko Ubelgiji.
 
Area D yote cctv camera ikobkwa kalemani peke yake wale wengine zinasemaje? Je sengia

..CCTV za Kalemani ndizo zilizokuwa karibu zaidi na kwenye muelekeo mzuri zaidi na eneo la tukio.

..Pia aliyeondoa walinzi siku ya tukio ahojiwe ili amtaje aliyemtuma.
 
Lazima uone hivyo kwamba utawala wa Magufuli ulikuwa katili kutokana na sababu niliyoeleza kwamba ilikuwa karibu kila uhalifu mnahusisha na Magufuli, mkiona maiti imetupwa huko basi ni Magufuli ndio anahusika, watu wakitekwa ni Magufuli yani kila kitu ilikuwa ni Magufuli sasa kwa mtazamo huo lazima utawala wake muone ulikuwa katili.
 
Mnapata wapi ujasiri wa kuongea kitu msicho na uelewa nacho? Samia hana kawaida ya kutoa sababu za kutumbua mawaziri wake kama mtangulizi wake laiti kama ungeambiwa sababu za kuvuliwa uwaziri wake ungemuona kenge kabisa. In short ni mpiga deal safi sana.
 
Wewe ndiye mpumbavu na mkatili sana. Tena shetani kabisa unayefurahia mateso waliyoyapata watu wengine. Jambo hilo lingekupata wewe , baba, mama, mtoto au ndugu yako sidhani kama ungeandika utumbo ulioandika hapa. Mshenzi mkubwa wewe!!!
 
Mkuu JokaKuu, with a due respect, this is a very serious allegations!, do you have any solid evidence to prove this?.
P
Zipo nyingi tu. Mfano kwa nini CCTV ziliondolewa? Kwa nini hakukuwahi kufanyika any investigations by police kuhusu hilo shambulio? Police wakiulizwa wanadai eti hawajampata Lissu au dereva wake ili wawahoji!! Kweli!!! Lissu kazunguka hapa 2020 kwenye kampeni hawakupata muda kumhoji???!!! Kwa hiyo suppose wangeuawa that day ingekuwa case closed kwa sababu waliotakiwa kuhojiwa wamefariki? Wewe Mayalla ndiyo unadai umesomea sheria???!!! Hiyo degree yako katupe chooni!!
 

Utakuwa umelewa maJohn Walker yako kwa maelezo haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…