Mkuu pesa ya urith haifanyiwi biashara....ujui mzee kapataje..nenda tafuta kiwanja jenga then pangisha itakusaidia maisha yako yoote
sumtymz maendeleo/mafanikio tunayachelewesha si wenyewe kwa imani zisizo kuwa na msingi..hiyo sadaka akaitoe wapi???Futa kabisa wazo hilo.
Kwanza kwa pesa hiyo huwezi kununua bodaboda nane.
Halafu usiwekeze kwenye Biashara moja.
Ushauri wa bure:
10m,unaiona ni pesa kubwa,lakini kiukweli ni pesa ndogo sana.Ila inaweza kuzalisha pesa kubwa kama ukituliza kichwa chako.
Na hali ilivyo ni kwamba bado unapapara,nakushauri iweke Bank kama miezi mitatu kisha ndio uifanyie mradi wako unaotaka kufanya.La sivyo utajuta.
Kwanza nakushauri toa kama 700,000 umtolee sadaka Marehem ili upate Baraka zake,maana bila yeye usingezipata.
na tabia ya pesa za Urithi,yaani kama ulitoa hata elfu moja katika hizo ukaenda kunywea bia basi hata ufanye nini umaskini ni wa kwako hadi unaingingia kaburini.Maana wafu wanaona matendo yetu

mkuu imani za wapi hizo??????usifuate ushauri wa huyu mdau!milioni kumi utajenga nini sasa.Mkuu pesa ya urith haifanyiwi biashara....ujui mzee kapataje..nenda tafuta kiwanja jenga then pangisha itakusaidia maisha yako yoote
Mdau,Wadau mimi ni Mwajiriwa,
Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.
Nami nataka kufuga sasa naomba unielekeze hapo kwenye kiwanja safi cha kufanyia mifugo hiyo ya ngombe mkuu nahitaji
I have made up my mind.
Nina kiwanja 40 by 40 maeneo ya chekereni Arusha.
Nataka nifuge kuku tu, wa kienyeji na wa kisasa. Tatizo umeme haujafika.
Nahitaji mtaalam wa solar pia naweza kupata incubator hapa Arusha??
Nianze project fasta. Kila jioni badala ya kwenda bar. Naenda kwenye mradi.
Wadau mimi ni Mwajiriwa,
Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.
Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.
Nitashukuru kwa kila wazo chanya
Mkuu pesa ya urith haifanyiwi biashara....ujui mzee kapataje..nenda tafuta kiwanja jenga then pangisha itakusaidia maisha yako yoote