A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Mkuu kwenda vipi kinyume na imani ya dini naomba unifafanulie hapaje unataka investment ya muda mfupi au mrefu, specify,pili biashara hiyo utasimamia mwenyewe au unataka uweke mtu wa kuisimamia? Je unataka biashara hiyo ndo uitegemee kwa maisha ya kila siku? Uko tayari kwenda kinyume cha imani yako(kama una imani/dini) ?
Nipo Bongo, napenda kujua zaid kiwanja cha kufugia hawa ng'ombe.Ng`ombe kweli wanalipa ( maziwa sio nyama),lakini jamaa yuko nje ya nchi. Mziki wa kutunza ng`ombe ukiwa mbali,tena ng`ombe wa maziwa si mchezo. Angekuwa Bongo ningemsaidia kumwonyesha kiwanja safi cha kufugia ng`ombe hao.
Biashara haramu unaziweza?
OkayHAPANA HIZO BIASHARA SIZITAKI...!
Possibly yes ila sio lazima mangi chief. Nataka nitoke nnje ya box kidogoJina asenga majina hayo ni ya maduka ya mangi mkuu
Usingeiweka hapo kwenye options zakoPossibly yes ila sio lazima mangi chief. Nataka nitoke nnje ya box kidogo
Habarin wana jf. Baada ya kupambana kwa kipindi kirefu nimeweza kusave fedha kias mpka kufikisha tsh million nane.
Lengo la uzi huu ni kutaka kuwashirikishen ndugu zangu kweli. Nina mawazo kadhaa ya kibiashara kulingana na eneo nililopo. Lengo langu sasa ni angalau nipate ushaur which one is the best kati ya hayo mawazo nilio nayo.
Mawazo hayo ni:
1. Stationery
2. Duka la vyakula/mangi
3. Mgahawa wa chakula
4. Maabara ndogo ya kupima afya
5. Kibanda cha miamala ya kifedha.
NB. Biashara zote nilizotaja hapo juu ninataman kuongeza thaman kwa kuweka m pesa isipokua tu hiyo ya maabara.
KARIBUN WAKUU.