Jilipue uweke 5M hapa tutest zari.Wakuu ,.ninaomba kujua biashara iliyoko hot kwa now tz,,
Please, kwa mtaji wa 15mil.,Either coaster or restaurant
Umeandika lugha binafsi sijaelewapls why that can reward you more than those 2 you are thinking ofturer a new veo dont you conduct a fesibility study of what you want to do and where??? dont depend on people to advice you, thats one eason why people FAIL in bussiness mkuu, you might even discover new ventures that are more rewarding than those 2 you are talking of, in ussiness the worst thing you can do is to be LAZY, hope you get my point mkuu, all the best
Biashara yann wakati unataka pesa ya fasta fasta we tandika mkeka wako chagua masimba kama Barcelona, Tottenham,Manchester City na Chelsea lakiini usimweke Manchester united nakazia tena usimweke Manchester united ukiweka hiyo M15 tegemea kupata 4 billion overπWakuu ,.ninaomba kujua biashara iliyoko hot kwa now tz,,
Please, kwa mtaji wa 15mil.,Either coaster or restaurant
Nmeipenda ya bajaji ,lakini ya nafaka au duka naona uncertainity factors nyingi kaka za uhakika wa profit mkuu1)Nunua bajaji 2 kwa M14.5 After a year utaingiza kama 25M+
2)Anzisha duka la jumla la a) Vinywaji vya kawaida au b) Nafaka.
Usije ukathubutu kaka,then wanasheria yao wenyewe waanzishaji wa bettings kabisa wanasema usijaribu kubet almost 60 percent of your normal earnings .unaweza ukaliaBiashara yann wakati unataka pesa ya fasta fasta we tandika mkeka wako chagua masimba kama Barcelona, Tottenham,Manchester City na Chelsea lakiini usimweke Manchester united nakazia tena usimweke Manchester united ukiweka hiyo M15 tegemea kupata 4 billion overπ
Jilipue uweke 5M hapa tutest zari.
==================================
Mkaruka said:
Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.
Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.
Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.
Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?
Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.
Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
Jibu sahihi kabisa,hela haijawahi kua nyepesi kiasi hicho.Ila kumbuka tu ukiletewa fursa juwa wewe ndio fursa...! Ahsante.
Yaelekea umeshuka leo kutoka Jamaica mkuupls why that can reward you more than those 2 you are thinking ofturer a new veo dont you conduct a fesibility study of what you want to do and where??? dont depend on people to advice you, thats one eason why people FAIL in bussiness mkuu, you might even discover new ventures that are more rewarding than those 2 you are talking of, in ussiness the worst thing you can do is to be LAZY, hope you get my point mkuu, all the best
Production ya bidhaa gani mkuu?Fungua production inalipa sana itajihusisha na mengi hapo
mchele noma sana hauna faida kivile aisee.bro ushawah kufanya hii bussness au una mshauri tu maana nshawah kupiga hesabu kutoa mchele mkoan mpaka dar nkakuta faida inakuja 2000 kwa gunia
Ila mkuu shambani ni pagumu mno.Kwa Dar sijui ila kwa mikoani hiyo pesa unaweza kufanya mambo mengi sana. Nakushauri endelea kuishi Dar lakini hiyo pesa wekeza mikoani hasa hasa kwenye wilaya za mkoa wa Morogoro au Dodoma ambapo ni karibu. HUTAJUTA
NB: Kama unataka mali utaipata shambani.
hakuna ugumu wowote. Mfano kilimo cha zabibu kinacost mwanzo tu kwenye miundombinu, baada ya hapo unakuwa ni kupulizia dawa na kuvuna tu, huna tena gharama zingine.Ila mkuu shambani ni pagumu mno.
1)Nunua bajaji 2 kwa M14.5 After a year utaingiza kama 25M+
2)Anzisha duka la jumla la a) Vinywaji vya kawaida au b) Nafaka.