Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

pls why that can reward you more than those 2 you are thinking ofturer a new veo dont you conduct a fesibility study of what you want to do and where??? dont depend on people to advice you, thats one eason why people FAIL in bussiness mkuu, you might even discover new ventures that are more rewarding than those 2 you are talking of, in ussiness the worst thing you can do is to be LAZY, hope you get my point mkuu, all the best
 
Wakuu ,.ninaomba kujua biashara iliyoko hot kwa now tz,,
Please, kwa mtaji wa 15mil.,Either coaster or restaurant
Jilipue uweke 5M hapa tutest zari.

==================================

Mkaruka said:
Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.

Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.

Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.

Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?

Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.

Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
 
Mkuu

Umeandika lugha binafsi sijaelewa
 
Wakuu ,.ninaomba kujua biashara iliyoko hot kwa now tz,,
Please, kwa mtaji wa 15mil.,Either coaster or restaurant
Biashara yann wakati unataka pesa ya fasta fasta we tandika mkeka wako chagua masimba kama Barcelona, Tottenham,Manchester City na Chelsea lakiini usimweke Manchester united nakazia tena usimweke Manchester united ukiweka hiyo M15 tegemea kupata 4 billion over😎
 
1)Nunua bajaji 2 kwa M14.5 After a year utaingiza kama 25M+

2)Anzisha duka la jumla la a) Vinywaji vya kawaida au b) Nafaka.
Nmeipenda ya bajaji ,lakini ya nafaka au duka naona uncertainity factors nyingi kaka za uhakika wa profit mkuu
 
Biashara yann wakati unataka pesa ya fasta fasta we tandika mkeka wako chagua masimba kama Barcelona, Tottenham,Manchester City na Chelsea lakiini usimweke Manchester united nakazia tena usimweke Manchester united ukiweka hiyo M15 tegemea kupata 4 billion over😎
Usije ukathubutu kaka,then wanasheria yao wenyewe waanzishaji wa bettings kabisa wanasema usijaribu kubet almost 60 percent of your normal earnings .unaweza ukalia
 
Jilipue uweke 5M hapa tutest zari.

==================================

Mkaruka said:
Kama Kweli Una Nia Ya Mafanikio Wekeza Kwenye Biashara Yangu ( Parnership ) Kwa Kuwa Utakuwa Kwenye Makaratasi Yote Kisheria Na Utajua Kila Kinachoendelea Kwenye Kampuni.

Biashara Ya Mahitaji Ya Majumbani Ni Za Kizamani Na Hazina Mwendeldzo Na Hazifai Kabisa Kwa Kijana Anaefikiria Kwa Karne Ya 21.

Ukiwekeza 10 Milioni Kuna Uwezekano Kabisa Wa Kuzalisha Mpaka Milioni 1 Kwa Mwezi Wakati Kwa Duka La Kawaida Huwezi Kupata.

Kumbuka Ukikopa 10M NMB Utakuwa Ukikatwa 253,000 Kila Mwezi Kwa Miaka 5 Na Kwa Kuwa Mshahara Wako Ni Tsh 353,000 Utcakiwa Na Nini Kwa Kuishi Miaka 5 Ijayo ?

Kama Kweli Una Nia Ya Kutoka Kimaisha, Wekeza Kwangu Na Kampuni Itakuwa Inalipa Mkopo Wako Wakati Wewe Ukiwa Aidha Na Kipato Kile Kile Pamoja Na Umiliki Wa Kampuni Au Zaidi.

Ila Duka La Mazaga Tena Kwa Kumweka Mtu, Utajuta Kwa Miaka 5 Ijayo.
 
Kwa Dar sijui ila kwa mikoani hiyo pesa unaweza kufanya mambo mengi sana. Nakushauri endelea kuishi Dar lakini hiyo pesa wekeza mikoani hasa hasa kwenye wilaya za mkoa wa Morogoro au Dodoma ambapo ni karibu. HUTAJUTA

NB: Kama unataka mali utaipata shambani.
 
Unapozungumzia Dar basi kitu cha kwanza kuja kichwani lazima kiwe usafiri (daladala). Ndani ya Dar watu kila siku wana move one place to another kuanzia asubuhi mpaka.

Ila hamnaga coaster ya million 15 kwenye biashara, utauziwa kanyanga. Jipange ununue kifaa cha uhakika. Naongea by experience kwa sabab tushawahi kununua coaster ya bei rahisi.
 
pls why that can reward you more than those 2 you are thinking ofturer a new veo dont you conduct a fesibility study of what you want to do and where??? dont depend on people to advice you, thats one eason why people FAIL in bussiness mkuu, you might even discover new ventures that are more rewarding than those 2 you are talking of, in ussiness the worst thing you can do is to be LAZY, hope you get my point mkuu, all the best
Yaelekea umeshuka leo kutoka Jamaica mkuu
 
Kwa Dar sijui ila kwa mikoani hiyo pesa unaweza kufanya mambo mengi sana. Nakushauri endelea kuishi Dar lakini hiyo pesa wekeza mikoani hasa hasa kwenye wilaya za mkoa wa Morogoro au Dodoma ambapo ni karibu. HUTAJUTA

NB: Kama unataka mali utaipata shambani.
Ila mkuu shambani ni pagumu mno.
 
😃😃😃 ndugu ni miaka 10 imepita toka bwana Mbu aanzishe uzi huu.
SWALI: Mzigo uwo bado upo?
Kama alifanyikiwa kuinvest bas ni vizur akarudi kutupa mrejesho wa namna alivyofaidi za uwekezaji uwo.

Since our prosperity as a nation depends upon the personal financial prosperity of each of us as individuals.
 
Ila mkuu shambani ni pagumu mno.
hakuna ugumu wowote. Mfano kilimo cha zabibu kinacost mwanzo tu kwenye miundombinu, baada ya hapo unakuwa ni kupulizia dawa na kuvuna tu, huna tena gharama zingine.

Pia kwa 15M unaweza kufanya diversification

1. 6M ukalima mpunga
2. 4M ukalima viazi
3. 5M ukalima zabibu au ALIZETI

Mungu akikujalia ukavuna vyote hivyo vizuri utakuwa ume-double mtaji.

NB: Vyote hivyo watu wanavifuata SHAMBANI wala risk ya soko haikuhusu wewe.
 
Ndugu zangu wana jamvi naombeni ushauri, wanasema penye wengi hapakosi jambo.

Mimi ni mwajiriwa, nimekuwa nikitamani kuacha kazi na kufanya biashara lakini nakuwa muoga, nikiwa na mawazo je ikifeli?

Nimejaribu kusave na kufungua salon nikiwa bado job nikashindwa, vijana walikuwa sio waaminifu.

Sasa hivi nataka niache kazi kabisa biashara nitakayoifanya niisimamie mwenyewe, lakini naumiza sana kichwa. Je, kwa mtaji wa 6,000,000 au 7,000,000 naweza kufanya biashara gani ambayo angalau itanipatia faida ya 30,000 kwa siku?

Nashukuru sana kwa mawazo yenu mazuri.
 
Back
Top Bottom