Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Habari za wakati huu..

Nimekuja kwenu wazoefu wa biashara hapa jijini Dar.

Nina mtaji wa sh mil 7 ambao nataka niuingize kwenye mzunguko. Ningependa kupata mawazo yenu wadau ni biashara ipi inaweza niiingizia faida ya sh 30,000 kila siku.

Kwa upande wangu nina waza kuanzisha sehemu ya kuuza chakula kama chips hivi.

Nahitaji msaada wenu wandugu maana nampango wa kuanza hii biashara mwisho wa mwaka huu
 
Embu nenda kwenye jukwaa la waweka mikeka na kubet uone kama laki tuu haijakupa hiyo faida kwa siku
 
M
Mkuu tupo kwenye msiba lakini bado unataka kutapeli!? [emoji848][emoji848]
Mkuu Sina mpango huu me nimeitoa ktk group fln hivi.... Ukienda huko ukitapeliwa shauri yako. Ndiyo maana hujasikia nimesema njoo inbox Wala hakuna namba yangu.... Kuna ushauri wa kununua mpunga pale juuu mbona hujasema Kama namtapeli?
 
Reactions: Pep
jaman jaman atapigwa mtu hapa sasa hivi,hakunaga faida ya mayai duniani
 
Nenda na hiyo hiyo biashara ya chips.
Kama ni dar nipe tender ya kupika pilau na biriani na ijumaa.
Karibu sana mkuu.... nikiwa tayari nitakutaarifu maana nipo kwenye kufanya utafiti na nahangaikia sehemu yenye uwezekano wa kurudisha hela kwa haraka
 
Reactions: amu
Karibu sana mkuu.... nikiwa tayari nitakutaarifu maana nipo kwenye kufanya utafiti na nahangaikia sehemu yenye uwezekano wa kurudisha hela kwa haraka
Na ukifanikiwa kuanza biashara ya chipsi naomba niwe nakuuzia viazi.Nina viazi vizuri Sana kutoka njombe aina ya CAP,hutojuta chipsi zake Tamu sana.Kwa ufupi ukipata eneo zuri chipsi ni biashara nzuri inalipa.
 
Gunia unauzaje chief
 
Acha uoga utapeli pia ni kazi
M
Mkuu Sina mpango huu me nimeitoa ktk group fln hivi.... Ukienda huko ukitapeliwa shauri yako. Ndiyo maana hujasikia nimesema njoo inbox Wala hakuna namba yangu.... Kuna ushauri wa kununua mpunga pale juuu mbona hujasema Kama namtapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…