Tajiri yangu nakuelewa sana usemayi..Sumri ni tajiri...narudia tena yule sio mwenzetu na mie wakulima eka 5/sijui..
Mie nimelima kwa passion kbs...! Sio hela ya mawazo...changamoto zilizop shambani ni mob..kwanza madawa feki..unapiga dawa unajua unaua flies kumbe dawa feki..ukirud wanakubadilisbia bila hiana
Mie sijawah pata mazao mabovu hata sku moja...sijui nikuelzeje...nilipewa wataalam kbs toka hapa sua...sheshe liko sokoni...usiniambia sijui sikutarget soko...mie labda jamii za kunde ndo ntashindwa kukuelezea...unafika sokoni na zao lako kuna gar km 20!
Ukijifanya wewe mjanja wanakutazama tu...kifup madalali wana umoja wa ajabu...!utarudi pale pale tu ! Kuna group tuliamua kuanzisha kupinga san madalali kuna mtu mmoja yuko humu alikua kinara tuwakatae madalali tutafute soko wenyewe..hehhe...ikabounce!we mtu una eka 5 unajigamba unapeleka kenya??/...labda km hujui mahesabu vzr!unahangaika siku 90 unakuja ambulia 300k faida..hapana!.bora ununue mazao uuze! Kilimo kina changamoto nyngi sana esp Tz!kuanzia mbegu had madawa!
Sumri unajua analima ekari ngap??jifananishe sasa na ww!
[/QUO umelezea vizuri hasa juu ya soko na madalali waangalie hivi hivi. Na kitu kingine unalima ukiwa ujui mwisho sokoni utakutana na bidhaa Kama yako nyingi tu itakayopelekea wewe uendane na bei ya soko ya wakati huo hapo hujaangalia changamoto ya mbegu madawa na matumizi kibao ya kule shambani