Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?


Mkuu...kwamba? Na chenji inabaki? 10m ni hela ndogo ujue
 
Kwenye biashara husika iliyotajwa hapo juu hii hela ni nyingi

Na ilivyo huku mtaani tra ikizidi sana hapo ni laki na nusu per year

Frame za laki kwa mwezi ni nyingi alafu na faida nyingine ya hii kazi faida ni nusu kwa nusu
 
Msaada wenu wa mawazo unahitajika.


Kwa mtaji wa milioni sita anaweza Fanya biashara gani, ni mtumishi, anataka kuchukua mkopo.

Naomba kuwasilisha
 
Msaada wenu wa mawazo unahitajika.


Kwa mtaji wa milioni sita anaweza Fanya biashara gani, ni mtumishi, anataka kuchukua mkopo.

Naomba kuwasilisha
Hii mada au uzi huu ni mchanganyiko tosha! Anataka asaidiwe namna ya kutumia 6M kufanya biashara na biashara gani au anataka aelezwe namna ya kukopa akiwa mtumishi au yote!? Fafanua tafadhali.
 
Wafanya biashara naomba mawazo yenu katika hili, kichwa cha bahari kinajitosheleza.
Mkuu,Kuna Location ambayo unaweza kuwekeza kama TZS 3-7 Milioni kwa biashara na unaweza pata faida nzuri sana.PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…