Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Fungua hata duka la spea za pikipiki na Mashine ndogo za kumwagilia bwashee mbona akili imelala sana

Tena kwa hiyo m10 utakuwa na kila spea kwenye duka lako kuanzia boxer toyo na pikipiki kubwa

Ukituliza ubongo huo mtaji n mkubwa sana na unabaki alafu ili unogeshe zaidi jaribu kwenda mikoani achana na dar hapo wajanja wengi

Mkuu...kwamba? Na chenji inabaki? 10m ni hela ndogo ujue
 
Kwenye biashara husika iliyotajwa hapo juu hii hela ni nyingi

Na ilivyo huku mtaani tra ikizidi sana hapo ni laki na nusu per year

Frame za laki kwa mwezi ni nyingi alafu na faida nyingine ya hii kazi faida ni nusu kwa nusu
 
Msaada wenu wa mawazo unahitajika.


Kwa mtaji wa milioni sita anaweza Fanya biashara gani, ni mtumishi, anataka kuchukua mkopo.

Naomba kuwasilisha
 
Msaada wenu wa mawazo unahitajika.


Kwa mtaji wa milioni sita anaweza Fanya biashara gani, ni mtumishi, anataka kuchukua mkopo.

Naomba kuwasilisha
Hii mada au uzi huu ni mchanganyiko tosha! Anataka asaidiwe namna ya kutumia 6M kufanya biashara na biashara gani au anataka aelezwe namna ya kukopa akiwa mtumishi au yote!? Fafanua tafadhali.
 
Wafanya biashara naomba mawazo yenu katika hili, kichwa cha bahari kinajitosheleza.
Mkuu,Kuna Location ambayo unaweza kuwekeza kama TZS 3-7 Milioni kwa biashara na unaweza pata faida nzuri sana.PM
 
Back
Top Bottom