monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Unajua bodaboda anapeleka malengo elf 7 kwa SKU?Mkuu unafahamu kuendesha boda? Kama unafahamu ungechukuwa 2M ukanunua pikipiki ukapiga kazi.
Kama haufahamu au hauna interests basi tafuta mtu unayeweza kuingia nae mkataba umpe aendeshe yeye. Hautapata 30K kwa siku ukimpa mtu ila angalau unaweza kufikisha nusu yake...
Mkuu hiyo buku 7 ni kwa mkoa gani na sehemu ipi ya mji?Unajua bodaboda anapeleka malengo elf 7 kwa SKU?
Mkuu changamoto kubwa nayoiona kwenye bodaboda ni kupata muendeshaji mzuri. Sasa hilo ndio suala la kukabiliana nalo. Akifanikiwa tu hapo basi atakuwa amefaulu. Boda ni uhakika haulali njaa.Ushauri wako ni mzuri, ila kwa tahadhari ajitahidi kupata mtu mwaminifu. Kuna mtu alichukua mkopo akanunua pikipiki ya biashara, aliyefanya nae biashara hakuwa mwaminifu. Alihisi kuvurugikiwa akili...
Kwa mtaji huo akipata eneo lenye watu wengi auze chips mayai nyama ndizi hiyo 30k ni hela ndogo sanaaaaaaMkuu hiyo buku 7 ni kwa mkoa gani na sehemu ipi ya mji?
Ila pia kwa huo mtaji wa 5M kwamba atapata baishara ya kupata faida ya 30K kwa siku si rahisi sana. Inabidi akubali kuanzia chini kabisa. Na kama hana uzoefu kabisa asiweke pesa yote. Atalia machozi. Mie kwa uzoefu wangu nadhani katika watu 50 wanaoaza biashara basi wanaofanikiwa wanaweza wasizidi hata watano. Siyo kutatishana tamaa ila lazima tuambizane ukweli. Hasa hizo biashara za kununua bidhaa na kuuza. Si masihara.
ππππππ ONTARIOFungua real account ya forex
Mkuu ulishajaribu kuuza chips mayai? Tuanzie hapo kwanza.Kwa mtaji huo akipata eneo lenye watu wengi auze chips mayai nyama ndizi hiyo 30k ni hela ndogo sanaaaaaa
Nilifanya hii business toka 2016 pale Kawe kwa mtaji wa laki 5 tuuMkuu ulishajaribu kuuza chips mayai? Tuanzie hapo kwanza.
Hongera sana mkuu kwa mafanikio.Nilifanya hii business toka 2016 pale kawe kwa mtaji wa laki 5 tuu
Isingekuwa ubize ningekuwa mbali sana na niliacha 2019
Hahahah ukiwa na mtaji mkubwa hupigwi kizembeπHahaha atapigwa kipigo cha mbwa koko
Cc CCNP Engineer
Mkuu naona psg chalii kama angesikiliza ushauri wako sasa hivi tungekuwa tunaulizana kama tunazika hapa au tusafirishaNjoo tuanze kubet,
Leo Ni R Madrid v PSG.
Mpe PSG weka pesa yote 5mil kesho utakuwa na 10+Mil.
Hao PSG wenyewe sasa...Njoo tuanze kubet,
Leo Ni R Madrid v PSG.
Mpe PSG weka pesa yote 5mil kesho utakuwa na 10+Mil.
π€£π€£π€£Mkuu naona psg chalii kama angesikiliza ushauri wako sasa hivi tungekuwa tunaulizana kama tunazika hapa au tusafirisha
Huko ndio anaenda kupasuka vibayaFungua real account ya forex
Kama alimsikiliza huyu jamaa hii 5m hana tena!!Njoo tuanze kubet,
Leo Ni R Madrid v PSG.
Mpe PSG weka pesa yote 5mil kesho utakuwa na 10+Mil.
Benzema unamfahamu?Njoo tuanze kubet,
Leo Ni R Madrid v PSG.
Mpe PSG weka pesa yote 5mil kesho utakuwa na 10+Mil.
Riba inaleta maradhi yasio tibika.Kopesha watu warudishe kwa riba.
Ungemuua mwenzioNjoo tuanze kubet,
Leo Ni R Madrid v PSG.
Mpe PSG weka pesa yote 5mil kesho utakuwa na 10+Mil.
Ushapoteza mtaji wa watu maskini πππNjoo tuanze kubet,
Leo Ni R Madrid v PSG.
Mpe PSG weka pesa yote 5mil kesho utakuwa na 10+Mil.