monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Unajua bodaboda anapeleka malengo elf 7 kwa SKU?Mkuu unafahamu kuendesha boda? Kama unafahamu ungechukuwa 2M ukanunua pikipiki ukapiga kazi.
Kama haufahamu au hauna interests basi tafuta mtu unayeweza kuingia nae mkataba umpe aendeshe yeye. Hautapata 30K kwa siku ukimpa mtu ila angalau unaweza kufikisha nusu yake...