Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mkuu unafahamu kuendesha boda? Kama unafahamu ungechukuwa 2M ukanunua pikipiki ukapiga kazi.

Kama haufahamu au hauna interests basi tafuta mtu unayeweza kuingia nae mkataba umpe aendeshe yeye. Hautapata 30K kwa siku ukimpa mtu ila angalau unaweza kufikisha nusu yake...
Unajua bodaboda anapeleka malengo elf 7 kwa SKU?
 
Unajua bodaboda anapeleka malengo elf 7 kwa SKU?
Mkuu hiyo buku 7 ni kwa mkoa gani na sehemu ipi ya mji?

Ila pia kwa huo mtaji wa 5M kwamba atapata baishara ya kupata faida ya 30K kwa siku si rahisi sana. Inabidi akubali kuanzia chini kabisa. Na kama hana uzoefu kabisa asiweke pesa yote. Atalia machozi. Mie kwa uzoefu wangu nadhani katika watu 50 wanaoaza biashara basi wanaofanikiwa wanaweza wasizidi hata watano. Siyo kutatishana tamaa ila lazima tuambizane ukweli. Hasa hizo biashara za kununua bidhaa na kuuza. Si masihara.
 
Ushauri wako ni mzuri, ila kwa tahadhari ajitahidi kupata mtu mwaminifu. Kuna mtu alichukua mkopo akanunua pikipiki ya biashara, aliyefanya nae biashara hakuwa mwaminifu. Alihisi kuvurugikiwa akili...
Mkuu changamoto kubwa nayoiona kwenye bodaboda ni kupata muendeshaji mzuri. Sasa hilo ndio suala la kukabiliana nalo. Akifanikiwa tu hapo basi atakuwa amefaulu. Boda ni uhakika haulali njaa.
 
Mkuu hiyo buku 7 ni kwa mkoa gani na sehemu ipi ya mji?

Ila pia kwa huo mtaji wa 5M kwamba atapata baishara ya kupata faida ya 30K kwa siku si rahisi sana. Inabidi akubali kuanzia chini kabisa. Na kama hana uzoefu kabisa asiweke pesa yote. Atalia machozi. Mie kwa uzoefu wangu nadhani katika watu 50 wanaoaza biashara basi wanaofanikiwa wanaweza wasizidi hata watano. Siyo kutatishana tamaa ila lazima tuambizane ukweli. Hasa hizo biashara za kununua bidhaa na kuuza. Si masihara.
Kwa mtaji huo akipata eneo lenye watu wengi auze chips mayai nyama ndizi hiyo 30k ni hela ndogo sanaaaaaa
 
Back
Top Bottom