zuuth
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 377
- 142
Sawa mkuu..
But which location..what kind of house with that amount?
I'm just thinking aloud...
Vizur saana mkuu...nenda kibaha nunua kiwanja for 3m inayobakia anza ujenz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu..
But which location..what kind of house with that amount?
I'm just thinking aloud...
Vizur saana mkuu...nenda kibaha nunua kiwanja for 3m inayobakia anza ujenz
Amen!
No worries..
umsimdanganye.....kwa mfano ninunue boda boda 8 kwa bei ya jumla.. Nifungue account say boa bank. Kila nikipewa cash nadeposit huko.. Then cash inflow niwe nanunua boda boda moja kila mwezi. After six months si naweza kukopa na kununua boda boda nyiingi zaidi au!???
Dahh kaz kweli kweli!!!
Nahitaji kutulia
wekeza kwenye ujenzi/nyumba.wadau mimi ni mwajiriwa,
katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.
Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.
Nitashukuru kwa kila wazo chanya
kwa mfano ninunue boda boda 8 kwa bei ya jumla.. Nifungue account say boa bank. Kila nikipewa cash nadeposit huko.. Then cash inflow niwe nanunua boda boda moja kila mwezi. After six months si naweza kukopa na kununua boda boda nyiingi zaidi au!???
Dahh kaz kweli kweli!!!
Nahitaji kutulia
Vipi kama hizo pesa zilipatikana kwa biashara ya bia? Ila nimegundua watu mna imani za ajabu ajabu sana kuhusu pesa za urithi. Ukweli ni kwamba pesa yeyote ya kupewa bure bure kuitumia kuzalisha ni kazi sana sio suala la kuonwa na marehemu wala nini.Kwanza nakushauri toa kama 700,000 umtolee sadaka Marehem ili upate Baraka zake,maana bila yeye usingezipata.
na tabia ya pesa za Urithi,yaani kama ulitoa hata elfu moja katika hizo ukaenda kunywea bia basi hata ufanye nini umaskini ni wa kwako hadi unaingingia kaburini.Maana wafu wanaona matendo yetu
Wewe ndio umeongea hawa boda boda, bajaj na daladala ili mwende sawa inabidi wewe uwe muhuni zaidi yao. Ukiwasikiliza lazima uishie na hadithi za bwana Elli.Hapo nimekuelewa mkuu #Elli , japo kumbuka kuwa hakuna biashara inayokuwa na hasara ikakosa faida!,mfano mm nipo kwenye Dala dala na madereva wakianza story napiga chini napaki gari hadi wiki nzima then nawapa dereva wengine,kwahiyo hapo madereva wanakuwa wanajua kabisa tukianza stori kazi hatuna!,kwahiyo ukiwa unamuacha kila siku mtu anakuletea pesa nusu unategemea nn?!!
yaani kama ulitoa hata elfu moja katika hizo ukaenda kunywea bia basi hata ufanye nini umaskini ni wa kwako hadi unaingingia kaburini.Maana wafu wanaona matendo yetu
Wadau mimi ni Mwajiriwa,
Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.
Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.
Nitashukuru kwa kila wazo chanya
Mi nimeshangaa hasa eti ndugu zake wamechemsha ndio anahitimisha hela ya urithi haifanyiwi biashara!! Ingekuwa hivyo hizi kampuni zenye miaka zaidi ya 200 si zingekuwa hazipo zote!naona unajifunza kwa walioshindwa je nyumba yako ingeezuliwa na kubomolewa na mafuliko ungesemaje we si ungekuwa umefulia kweli biashara ni mipango na utekelezaji
Mkuu Kibaha ipi? Maana maeneo mengi bei ipo juu kwelikweli. We tutupie vieneo hivyo tukatembelee.Vizur saana mkuu...nenda Kibaha nunua kiwanja for 3m inayobakia anza ujenzi.
Wadau mimi ni Mwajiriwa,
Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.
Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.
Nitashukuru kwa kila wazo chanya