Nawasalimu ndugu zangu wana jf.Habarza uzima,kwanza napenda kuwashukuru wote mliotoa maoni mbalimbali juu ya uzi nilioanzisha hapa majuz juu ya wasiwasi wangu kuhusu huu ugonjwa.
Kiukweli niko powa sana maana nilifuata shaur baadhi kama kupuuza habar za kuogofya na kutumia vitu kama tangawiz na sasa naona kuwa nipo powa,nafikiri ni hofu tu ilikuwa kali.
Leo katika hali ya matumizi ya kawaida ya simu nilipata kuona video moja na ikabidi nijiulize je hii inaweza kuwa sababu ya wamarekani wengi kufa?je ni kweli hivi virusi vipo kwa kila mnyama?
Naiweka hii video hapa ili kila mtu aione halafu wale wazee wa kutanua boksi na kwenda mbali zaid watusaidie kufanya uchambuz walau kidogo ili kutoa matongotongo katika nyuso zetu.Shukran kwa wote