#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Napenda niwaulize wadau ivi Corona ni kaugonjwa KADOGO Kama mafua ya kawaida,au maombi tulio muomba Mungu wetu kayapokea, au muda haujafika? Wa sisi kuanza kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Maandiko ya "QUR'AN na BIBLIA" ni dawa, hatukatai ila nawewe uwe na "MBIO" pia.

Sio unakimbizwa na simba, halafu unakaa kusoma qur'an au biblia wakati umesimama kama mlingoti, soma huku unakimbia bwasheee.
 
As a disease, COVID-19 shows considerable symptomatic variation. Individuals may present with no symptoms at all, while some may have a mild cough and fever, and an unlucky few may experience severe pneumonia and respiratory failure [1]. To complicate matters, COVID-19’s most common symptoms strongly overlap with those presented by other co-circulating respiratory illnesses:

SymptomCOVID-19Common ColdFluAllergy
FeverCommonRareCommonOccasional
Dry CoughCommonMildCommonOccasional
Shortness of BreathCommonNoNoCommon
HeadacheOccasionalRareCommonOccasional
Aches and PainsOccasionalCommonCommonNo
Sore ThroatOccasionalCommonCommonNo
FatigueOccasionalOccasionalCommonOccasional
DiarrhoeaCommonNoOccasionalNo
Runny NoseRareCommonOccasionalCommon
SneezingNoCommonNoCommon

Table comparing the typical symptoms of COVID-19, with the common cold, flu and allergy.
 
Nawasalimu ndugu zangu wana jf.Habarza uzima,kwanza napenda kuwashukuru wote mliotoa maoni mbalimbali juu ya uzi nilioanzisha hapa majuz juu ya wasiwasi wangu kuhusu huu ugonjwa.

Kiukweli niko powa sana maana nilifuata shaur baadhi kama kupuuza habar za kuogofya na kutumia vitu kama tangawiz na sasa naona kuwa nipo powa,nafikiri ni hofu tu ilikuwa kali.

Leo katika hali ya matumizi ya kawaida ya simu nilipata kuona video moja na ikabidi nijiulize je hii inaweza kuwa sababu ya wamarekani wengi kufa?je ni kweli hivi virusi vipo kwa kila mnyama?

Naiweka hii video hapa ili kila mtu aione halafu wale wazee wa kutanua boksi na kwenda mbali zaid watusaidie kufanya uchambuz walau kidogo ili kutoa matongotongo katika nyuso zetu.Shukran kwa wote
 

Attachments

  • VID-20200515-WA0008.mp4
    15.9 MB
Tumia hizi njia zinazoshauriwa na wataalam.
IMG_20200515_152640.jpg
 
Wakuu kwanza kabisa Salam..

Ni hivi ..
Dawa ya Covid 19 ikitokea imepatikana Muda wowote kuanzia sasa ,Kutokana na Mahitaji ya Dunia nzima Tanzania tutapewa ya kutosha watu 480 ..Je tutapokea ?
 
Ya nini sasa,maana hata Kaugonjwa kenyewe kadogo, tutawaachia kwanza waliobabaika sisi baadae Sana msongamano ukiisha.
 
  • Thanks
Reactions: prs
Rais Magufuli Mungu alimsaidia kuona mbali. Alichagua mikakati ya kuepusha maambukizi kwa kutilia mkazo social distancing, kunawa mikono mara kwa mara, kuvaa barakoa, kufunga shule na vyuo, wageni kutoka nje kukaa karantini siku 14 kwa gharama zao, huku watu wakihimizwa kufanya kazi kwa bidii-hapa kazi tu!! Na hakuna lockdown!! Msikilize hapa akitangulia huku WHO wakifuata nyuma:


 
Hutu tumafua tumepigiwa PR ya kufa mtu mpaka kuna pimbi zimejizolea credit za burebure
 
Corona corona Corona mnawaua watu kwaa stress na msongo wa mawazo watu wameogopa kukohoa wameogopa kusema wanaumwa kichwa wanakufa kibudu kwa hofu na uoga Mliowatengenezea

Mdudu huyu hana madhara kabidha vitisho na hofu zinazotolewa na viongozi wa AFRIKA havina msaada si kila kiuacho ulaya kitaua hvy hivyo na Afrika
Nasimama na JPM Corona has gone
 
Ila mtoa mada zama worldometer ucheki kuna nchi za Africa figures zipo juu...Ngoja na sisi tukitoa takwimu.
 
Back
Top Bottom