Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Maandiko ya "QUR'AN na BIBLIA" ni dawa, hatukatai ila nawewe uwe na "MBIO" pia.Napenda niwaulize wadau ivi Corona ni kaugonjwa KADOGO Kama mafua ya kawaida,au maombi tulio muomba Mungu wetu kayapokea, au muda haujafika? Wa sisi kuanza kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio unakimbizwa na simba, halafu unakaa kusoma qur'an au biblia wakati umesimama kama mlingoti, soma huku unakimbia bwasheee.