Huu ugonjwa ushachanganya watu,Unaleta !mimba kwa mabinti kwa sababu wapo tu nyumbani hamna kazi za kufanya (Hawana ubise ),Sintofahamu kibao, ni stresa kibao unaleta tutasikia mengi sana,MUUMBA wetu atuokoe.

pujo
 
Wazungu wajanja sana,na miafrika pasipo kuona mbali huwa inashededea tu,Mara ya kwanza kabisa wazungu walifanya tukajiachia sana,walizusha maneno yao kuwa corona haimpati MTU mweusi,waafrika hapa hapa jamii forum tukawa tunashangilia na kuwaponda waliokuwa wanatuonya humu,na kweli tukajiachia ikaingia na ikatupata na kutuchapa,sasa wamekuja tena na kuwa haitoondoka na kweli haiwezi ondoka maana wameshatupata, kuna tofauti kubwa sana kati ya mzungu na MTU mweusi,hatuezi wafikia hata kidogo wale watu,mahesabu yao ni ya mbali sana,siye tunawaza mambo juujuu tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasimama na JPM, unajipa matumaini hewa hapa JF ilhali yeye kajificha Chato siku ya 50 leo 👇
 
Kuwa na akili kama komanguruala sio lazima tukuone kwanza kwenye twitter umekaa kwenye majabali Mara ukisikia sauti za watu wanalia wewe unajificha ndani unaanza kupiga chabo na kutuma vimijusi vidogo vidogo vipeleke mapapai,fenesi,mbuzi,oilchafu na kondoo unasema nazo zinataka tiba kwenye foleni ya wagonjwa wanaotaka tiba
 
Kwanza hajui anacho kiongea,Corona siyo mdudu Bali ni virus,virus siyo kiumbeh hai Kama bacteria na ndiyo maana dawa na Kinga ningumu kupatikana,Sasa unapotuambia "huyu mfudu"inatufanya tuanze ku judge juu ya uelewa wako kuhusu Vovid19
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hizi takataka bana
 
Hofu hofu na mashaka tele ooho hoo huyu huyu mzee wa busara chuma ulete mtoto akifa kesho anatolewa chini ya mbuyu!
 
Hesabu zao za mbali alafu wanaisha na Corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wana JF ,wengi wetu tumeitazama Corona katika 'negative side only'
Hivi tumejaribu kutazama upande wa pili wa shilingi ? +ve impact to the world?
Mimi namini kuna manufaa makubwa pia yatakayopatikana kwa ujio wa gonjwa hili baya duniani.

Hizi hapa ni baadhi ya nilizo ziona mimi:
-Mashirika ya simu kuongeza kiwango cha kuweka pesa kwenye line zetu za simu,
-Miamala ya pesa kwa simu imeongezeka zaidi kwa kulipia huduma.
-Watu tumeongeza umakini wa kulinda Afya zetu na kutumia dawa za Kiasili.

endelezeni hapa
 
Faida ni nyingi pia, Viongozi wengine wa vyama vya siasa kudhihirika kuwa ni wabinafsi na wachumia tumbo kwa kulilia iwepo lockdown...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…