The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 960
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikilize hapa akitangulia huku WHO wakifuata nyuma:
Unasimama na JPM, unajipa matumaini hewa hapa JF ilhali yeye kajificha Chato siku ya 50 leo 👇Corona corona Corona mnawaua watu kwaa stress na msongo wa mawazo watu wameogopa kukohoa wameogopa kusema wanaumwa kichwa wanakufa kibudu kwa hofu na uoga Mliowatengenezea
Mdudu huyu hana madhara kabidha vitisho na hofu zinazotolewa na viongozi wa AFRIKA havina msaada si kila kiuacho ulaya kitaua hvy hivyo na Afrika
Nasimama na JPM Corona has gone
Corona corona Corona mnawaua watu kwaa stress na msongo wa mawazo watu wameogopa kukohoa wameogopa kusema wanaumwa kichwa wanakufa kibudu kwa hofu na uoga Mliowatengenezea

nawewe kajifiche.unaona wivu!!!!kajificha na bado anasikika.Unasimama na JPM, unajipa matumaini hewa hapa JF ilhali yeye kajificha Chato siku ya 50 leo [emoji116]View attachment 1451410
Hofu hofu na mashaka tele ooho hoo huyu huyu mzee wa busara chuma ulete mtoto akifa kesho anatolewa chini ya mbuyu!Corona corona Corona mnawaua watu kwaa stress na msongo wa mawazo watu wameogopa kukohoa wameogopa kusema wanaumwa kichwa wanakufa kibudu kwa hofu na uoga Mliowatengenezea
Mdudu huyu hana madhara kabidha vitisho na hofu zinazotolewa na viongozi wa AFRIKA havina msaada si kila kiuacho ulaya kitaua hvy hivyo na Afrika
Nasimama na JPM Corona has gone
Si wanapewa na madaktari matapeli Wa Africa wala posho kwani wanazitoa hewani?Ila mtoa mada zama worldometer ucheki kuna nchi za Africa figures zipo juu...Ngoja na sisi tukitoa takwimu.
Hesabu zao za mbali alafu wanaisha na Corona?Wazungu wajanja sana,na miafrika pasipo kuona mbali huwa inashededea tu,Mara ya kwanza kabisa wazungu walifanya tukajiachia sana,walizusha maneno yao kuwa corona haimpati MTU mweusi,waafrika hapa hapa jamii forum tukawa tunashangilia na kuwaponda waliokuwa wanatuonya humu,na kweli tukajiachia ikaingia na ikatupata na kutuchapa,sasa wamekuja tena na kuwa haitoondoka na kweli haiwezi ondoka maana wameshatupata, kuna tofauti kubwa sana kati ya mzungu na MTU mweusi,hatuezi wafikia hata kidogo wale watu,mahesabu yao ni ya mbali sana,siye tunawaza mambo juujuu tu,
Sent using Jamii Forums mobile app