Hili swali anaweza tu akalijibu mwana wa mfalme. Maana anacho kiamini yeye ni kile anacho kiwaza, lakini hawezi kuwaza kile anacho kiamimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anapenda kuchukua tahadhari lakini wanaomzunguruka wameacha! Maeneo mengi zimebaki ndoo bila maji na sabuni baada ya kusikia hakuna maambukizi na vifo vipya.
Tatizo, ukisema sana utaonekana mbaya.
 
Mkolomije katangaza.....unampinga??🙂

Everyday is Saturday.........................😎
 
inategemea ni mbadala wa nini.mange kimambi ni wa kukuelekeza hali iliyopo tz kweli!!!

na umeridhika tu!!
Imani ya mtu hauwezi kumchagulia, unachokitaka wewe kuna mtu akikiona atakikashifu na mwingine atakisifia sana, vivyo hivyo na ndivyo tunavyozifuata dini.
 
Ukiisikiliza serekali unaona corona imeisha ukiingia page ya mange/kigogo/coronavirus Tanzania unajikuta akili inarudi unakumbuka kuchukua Tahadhari.
Kuna Tanzania mbili,Ile ya mitandaoni na hii halisi sasa hapo inabidi Halmashauri yako ya kichwa ifanye kazi Kweli kweli.
 
Wachache waliofariki walikuwa na magonjwa nyemelezi mda mrefu
Kwahiyo Mafua yanauwa wenye magonjwa nyemelezi? Walikuwepo wanaosema kama wewe Leo hata kuingiza kitu kinywani wanashindwa usimeze ujinga utakuwa mjinga na utakufa kijinga, huyo aliyekuaminisha kakimbia mji, mwambie arudi maana ni Mafua!
 
Naibu Rais Daud Bashite wameachia watu waache kunawa mikono wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani waambukizane kwa wingi wafe kwa wingi ili wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…