Mkolomije katangaza.....unampinga??🙂

Everyday is Saturday.........................😎
Naibu Rais Daud Bashite katumwa na mtukufu awatangazie corona hakuna ndiyo maana barakoa sasa zinavaliwa hovyo hovyo mara kwenye koo mara chini ya pua, wauza chips wauza matunda wauza mazio wote hawana barakoa CCM wameamua kuachia ili watu waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Wanatafuta kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu kwa njia zote gharama yeyote na njia bora wameona ni kuwaachia wakazi wa Dsm kuzurula hovyo hovyo kukaa vijiweni kubanana vibarazani bila kunawa mikono wala kuvaa barakoa kujazana Bar misikitini misibani makanisani ili wapate kuambukizana wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Sasa wapo baadhi wameanza Salam ya mkono kukumbatiana hata nyumba za wageni zimeanza kufurika wazinzi kwa hapo Dsm ni kama hawajui kuwa corona ilikuwepo awali
 
Daresalam kuna premio corona tu ila mafua ya covid 19 kwisha kabisa.
 
Mwenyemkoa wake ndio katangaza.
Lakini tuliambiwa tumsikilize waziri wa afya na PM tu ikizidi mzee magu mwenyewe.

Kwahiyo hongera kwa serikali ya awamu ya 5 kwa kudhibiti maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa
Asante kwa maneno ya faraja lakini huku Arusha watu hawana habari ya Corona hakika ukipita mitaani uswazi ya huku unaweza kulia watu hawajali kabisa
 
Mwenyemkoa wake ndio katangaza.
Lakini tuliambiwa tumsikilize waziri wa afya na PM tu ikizidi mzee magu mwenyewe.

Kwahiyo hongera kwa serikali ya awamu ya 5 kwa kudhibiti maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera zipi? Kudhibiti maambukizi yapi? Watu hawavai barakoa, watu hawanawi mikono sasa, watu wanashinda vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani wameanza kusalimiana kwa mikono maambukizi yamekolea zaidi na zaidi
 
Mkuu ni kweli tutakufa kama minyoo imemwagiwa tindikali maabara...😕
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...anayesema piga kazi yeye yupo ndani...

Strategy watupunguze siyo bure! Aisee

Everyday is Saturday........................ 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…