#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Mkolomije katangaza.....unampinga??🙂

Everyday is Saturday.........................😎
Naibu Rais Daud Bashite katumwa na mtukufu awatangazie corona hakuna ndiyo maana barakoa sasa zinavaliwa hovyo hovyo mara kwenye koo mara chini ya pua, wauza chips wauza matunda wauza mazio wote hawana barakoa CCM wameamua kuachia ili watu waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Wanatafuta kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu kwa njia zote gharama yeyote na njia bora wameona ni kuwaachia wakazi wa Dsm kuzurula hovyo hovyo kukaa vijiweni kubanana vibarazani bila kunawa mikono wala kuvaa barakoa kujazana Bar misikitini misibani makanisani ili wapate kuambukizana wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Sasa wapo baadhi wameanza Salam ya mkono kukumbatiana hata nyumba za wageni zimeanza kufurika wazinzi kwa hapo Dsm ni kama hawajui kuwa corona ilikuwepo awali
 
Hivi sasa watu wengi wameacha kuvaa barakoa, wanashikana miili na wachache wanaweka maji ya kuosha mikono. Harakati za jiji zimerudi kama ilivyokuwa mwaka jana na hii ni baada ya kusikia kauli za viongozi zikiashiria hakuna maambukizi mapya wala vifo. Tanzania tumefanikiwa kuishinda Corona ndani ya muda mfupi sana, hii ni rekodi nzuri na inabidi tuwapongeze viongozi wetu. Nikiangalia mitaani kwangu watu wameisahau Corona ndani ya siku chache na maisha yamerudi kama zamani.
Swali, nani ametangaza kuwa Corona imekwisha?
Mwenyemkoa wake ndio katangaza.
Lakini tuliambiwa tumsikilize waziri wa afya na PM tu ikizidi mzee magu mwenyewe.

Kwahiyo hongera kwa serikali ya awamu ya 5 kwa kudhibiti maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa
Salama yetu ni immune kinga ya mwili.Ipo video mtandaoni wataalam wanashauri vyema faida za mikusanyiko kubadilishana virus na bacteria kunaongeza kinga ya mwili, kinyume na kujitenga na kuvaa mask mtu anabaki na kinga zake mwenyewe hivyo kufanya mwili kuwa prone dhaifu kwa maradhi.Tusiogope corona tuboreshe lishe na kuwakinga wachache walio dhaifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa maneno ya faraja lakini huku Arusha watu hawana habari ya Corona hakika ukipita mitaani uswazi ya huku unaweza kulia watu hawajali kabisa
 
Mwenyemkoa wake ndio katangaza.
Lakini tuliambiwa tumsikilize waziri wa afya na PM tu ikizidi mzee magu mwenyewe.

Kwahiyo hongera kwa serikali ya awamu ya 5 kwa kudhibiti maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera zipi? Kudhibiti maambukizi yapi? Watu hawavai barakoa, watu hawanawi mikono sasa, watu wanashinda vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani wameanza kusalimiana kwa mikono maambukizi yamekolea zaidi na zaidi
 
Naibu Rais Daud Bashite katumwa na mtukufu awatangazie corona hakuna ndiyo maana barakoa sasa zinavaliwa hovyo hovyo mara kwenye koo mara chini ya pua, wauza chips wauza matunda wauza mazio wote hawana barakoa CCM wameamua kuachia ili watu waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
Mkuu ni kweli tutakufa kama minyoo imemwagiwa tindikali maabara...😕
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...anayesema piga kazi yeye yupo ndani...

Strategy watupunguze siyo bure! Aisee

Everyday is Saturday........................ 😎
 
Back
Top Bottom