Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Kila mtu anchukua lake kwenye post. Nashukuru umeliona kosa langu na mimi nimepata nafasi ya kujifunza kutoka kwako.Hiwe ndo utumbo wa mnyama gani?
Kajifunze kuandika ndipo urudi kushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wakipungua wa nyumbani mwako na ndugu zako itakuwa Poa unadhani?Dunia imejaa watu.
Acha tupungue
NA dunia ipumzike NA vurugu za wanaadamu.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Gloves kama unatumia kushika sehemu chafu ni vizuri kuzitupa na kuosha mikono na sabuni kulikoni kutembea nazo siku nzema kwani utaongeza usambazaji wa vijidudu.Kumbuka wewe ni banadamu sio robot, watu wanapuuzia kuvaa kondom, nini kushika pua. Mask tuvae na gloves tuvae
Nitarudi Malawi mkuu, nakuomba uvae barakoa/mask ukitoka nje hili kupunguza janga la corona.Nenda kwenu Malawi. Hiwe ni nini? Mkipewa uraia mnataka kuwa viongozi pia
Nchi za Ulaya hazijaweza, bado wanajaribu na wanaona matokeo mazuri japo kidogo. Na sisi tujaribu kabla hatuja chelewa.Mungu bado anatulinda tu wala sio ivyo unavyovisema tunaviweza kuvizingatia kama nchi za uko ulaya
Hizo barakoa zipo za kumpa kila mtu?Kwa vile tumeamua hatuwezi kuweka nchi yetu kwenye "lockdown" kutokana na watu wengi kutegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi zinazo walazimisha watoke majumbani, ni vizuri serikali ikaweka sheria ambazo zinaweza kusaidia kupunguza maambukizi ya corona.
Sheria moja ambayo napendekeza na nchi ambazo zimeshambuliwa vikali na janga hili wanaanza kutumia, ni watu wote wakitoka nje ya nyumba zao wavae masks/barakoa. Mtu ambae hatovaa mask/barakoa alipishwe faini.
Masks/barakoa sio lazima hiwe ya kutupa kila siku kwani inaweza kuleta gharama kubwa kwa wananchi; mtu anaweza kushonesha na akafua jioni. Ikiwezekana serikali igawe masks/barakoa za vitambaa bure kwa wananchi hili watu waendelee na miangaiko ya kila siku kama kawaida.
Wale ambao watapata dalili za corona yani homa kali, kukooa, na kushindwa kupumua watabaki majumbani au kwenda hospitali kama watazidiwa zaidi.
Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda na janga hili, lakini ni muhimu nasisi tuchukue hatua za kujikinga.
Ndio mnaanza kuiona corona? Bado.Kwa vile tumeamua hatuwezi kuweka nchi yetu kwenye "lockdown" kutokana na watu wengi kutegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi zinazo walazimisha watoke majumbani, ni vizuri serikali ikaweka sheria ambazo zinaweza kusaidia kupunguza maambukizi ya corona.
Sheria moja ambayo napendekeza na nchi ambazo zimeshambuliwa vikali na janga hili wanaanza kutumia, ni watu wote wakitoka nje ya nyumba zao wavae masks/barakoa. Mtu ambae hatovaa mask/barakoa alipishwe faini.
Masks/barakoa sio lazima hiwe ya kutupa kila siku kwani inaweza kuleta gharama kubwa kwa wananchi; mtu anaweza kushonesha na akafua jioni. Ikiwezekana serikali igawe masks/barakoa za vitambaa bure kwa wananchi hili watu waendelee na miangaiko ya kila siku kama kawaida.
Wale ambao watapata dalili za corona yani homa kali, kukooa, na kushindwa kupumua watabaki majumbani au kwenda hospitali kama watazidiwa zaidi.
Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda na janga hili, lakini ni muhimu nasisi tuchukue hatua za kujikinga.
Umerogwa weweGloves kama unatumia kushika sehemu chafu ni vizuri kuzitupa na kuosha mikono na sabuni kulikoni kutembea nazo siku nzema kwani utaongeza usambazaji wa vijidudu.
Ni muhimu kuosha mikono mara kwa mara au kutumia sanitizer kuliko kutembea na gloves siku nzima.
Vipi wakipungua wa nyumbani mwako na ndugu zako itakuwa Poa unadhani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinawe ishi upendavyoSawa mimi nimenawa, je wenzangu wote watakaopanda bodaboda itakayonipeleka kazini nao watakuwa wamenawa? Vp wakiacha korona kwenye kiti cha abiria baada ya kushika bomba wakati wa safari?
We nae niondolee stress zako za kugongewaUsinawe ishi upendavyo
Huyo mtoa mada ni hopelessHizo barakoa zipo za kumpa kila mtu?
Sheria unayotaka itekelezwe pekee bila upatikanaji wa barakoa bure kwa watu wote itakuwa na maana gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wakipungua wa nyumbani mwako na ndugu zako itakuwa Poa unadhani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinawe ishi upendavyoSawa mimi nimenawa, je wenzangu wote watakaopanda bodaboda itakayonipeleka kazini nao watakuwa wamenawa? Vp wakiacha korona kwenye kiti cha abiria baada ya kushika bomba wakati wa safari?
Ndio akili yako inachowaza asubuhi hii.We nae niondolee stress zako za kugongewa
Kwa vile tumeamua hatuwezi kuweka nchi yetu kwenye "lockdown" kutokana na watu wengi kutegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi zinazo walazimisha watoke majumbani, ni vizuri serikali ikaweka sheria ambazo zinaweza kusaidia kupunguza maambukizi ya corona.
Sheria moja ambayo napendekeza na nchi ambazo zimeshambuliwa vikali na janga hili wanaanza kutumia, ni watu wote wakitoka nje ya nyumba zao wavae masks/barakoa. Mtu ambae hatovaa mask/barakoa alipishwe faini.
Masks/barakoa sio lazima hiwe ya kutupa kila siku kwani inaweza kuleta gharama kubwa kwa wananchi; mtu anaweza kushonesha na akafua jioni. Ikiwezekana serikali igawe masks/barakoa za vitambaa bure kwa wananchi hili watu waendelee na miangaiko ya kila siku kama kawaida.
Wale ambao watapata dalili za corona yani homa kali, kukooa, na kushindwa kupumua watabaki majumbani au kwenda hospitali kama watazidiwa zaidi.
Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda na janga hili, lakini ni muhimu nasisi tuchukue hatua za kujikinga.
Ili kukabiliana na upungufu wa mask (barakoa) wizara ya afya itoe muongozo wa mask za namna hii kama ikionekana zinaweza kufaa - JamiiForumsHizo barakoa za vitambaa na kufua zikoje Mkuu? Unajua kirusi anakaa kwa muda gani kwenye nguo?
Tatizo watanzania ni wabishi na tunajifanya wajuaji. Naunga mkono hoja, tumechagua njia yetu ya kupambana na korona basi tuiimarishe Ili kukabiliana na upungufu wa mask (barakoa) wizara ya afya itoe muongozo wa mask za namna hii kama ikionekana zinaweza kufaa - JamiiForumsKwa vile tumeamua hatuwezi kuweka nchi yetu kwenye "lockdown" kutokana na watu wengi kutegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi zinazo walazimisha watoke majumbani, ni vizuri serikali ikaweka sheria ambazo zinaweza kusaidia kupunguza maambukizi ya corona.