#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Kumbuka wewe ni banadamu sio robot, watu wanapuuzia kuvaa kondom, nini kushika pua. Mask tuvae na gloves tuvae
Gloves kama unatumia kushika sehemu chafu ni vizuri kuzitupa na kuosha mikono na sabuni kulikoni kutembea nazo siku nzema kwani utaongeza usambazaji wa vijidudu.

Ni muhimu kuosha mikono mara kwa mara au kutumia sanitizer kuliko kutembea na gloves siku nzima.
 
Kumekuwa na unyanyapaaji mkubwa sana unaofanywa dhidi ya watu waliopona ugonjwa wa corona.

Hali hii inasababishwa na jamii kuwa na ufahamu mdogo dhidi ya ugonjwa huu. Baadhi wa waliopona nimeshuhudia wakipelekwa kituo cha polisi na wananchi. Wananchi wanadai watu hao bado wana ugonjwa wa corona.

Unyanyapaaji huu ni kama ule ambao Wachina wanawafanyia Waafrika nchini mwao.

Maxence Melo Naomba ujumbe ufike kwa wahusika
 
Kwa vile tumeamua hatuwezi kuweka nchi yetu kwenye "lockdown" kutokana na watu wengi kutegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi zinazo walazimisha watoke majumbani, ni vizuri serikali ikaweka sheria ambazo zinaweza kusaidia kupunguza maambukizi ya corona.

Sheria moja ambayo napendekeza na nchi ambazo zimeshambuliwa vikali na janga hili wanaanza kutumia, ni watu wote wakitoka nje ya nyumba zao wavae masks/barakoa. Mtu ambae hatovaa mask/barakoa alipishwe faini.

Masks/barakoa sio lazima hiwe ya kutupa kila siku kwani inaweza kuleta gharama kubwa kwa wananchi; mtu anaweza kushonesha na akafua jioni. Ikiwezekana serikali igawe masks/barakoa za vitambaa bure kwa wananchi hili watu waendelee na miangaiko ya kila siku kama kawaida.

Wale ambao watapata dalili za corona yani homa kali, kukooa, na kushindwa kupumua watabaki majumbani au kwenda hospitali kama watazidiwa zaidi.

Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda na janga hili, lakini ni muhimu nasisi tuchukue hatua za kujikinga.
Hizo barakoa zipo za kumpa kila mtu?
Sheria unayotaka itekelezwe pekee bila upatikanaji wa barakoa bure kwa watu wote itakuwa na maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vile tumeamua hatuwezi kuweka nchi yetu kwenye "lockdown" kutokana na watu wengi kutegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi zinazo walazimisha watoke majumbani, ni vizuri serikali ikaweka sheria ambazo zinaweza kusaidia kupunguza maambukizi ya corona.

Sheria moja ambayo napendekeza na nchi ambazo zimeshambuliwa vikali na janga hili wanaanza kutumia, ni watu wote wakitoka nje ya nyumba zao wavae masks/barakoa. Mtu ambae hatovaa mask/barakoa alipishwe faini.

Masks/barakoa sio lazima hiwe ya kutupa kila siku kwani inaweza kuleta gharama kubwa kwa wananchi; mtu anaweza kushonesha na akafua jioni. Ikiwezekana serikali igawe masks/barakoa za vitambaa bure kwa wananchi hili watu waendelee na miangaiko ya kila siku kama kawaida.

Wale ambao watapata dalili za corona yani homa kali, kukooa, na kushindwa kupumua watabaki majumbani au kwenda hospitali kama watazidiwa zaidi.

Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda na janga hili, lakini ni muhimu nasisi tuchukue hatua za kujikinga.
Ndio mnaanza kuiona corona? Bado.
 
Gloves kama unatumia kushika sehemu chafu ni vizuri kuzitupa na kuosha mikono na sabuni kulikoni kutembea nazo siku nzema kwani utaongeza usambazaji wa vijidudu.

Ni muhimu kuosha mikono mara kwa mara au kutumia sanitizer kuliko kutembea na gloves siku nzima.
Umerogwa wewe
 
kwa kuwa nao ni binadamu.
SAWA TU.
Dunia imetulia sasa.
Anga limekuwa Safi sababu viwanda havifanyi kazi.
Vipi wakipungua wa nyumbani mwako na ndugu zako itakuwa Poa unadhani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20200412-120519.jpg

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Sawa mimi nimenawa, je wenzangu wote watakaopanda bodaboda itakayonipeleka kazini nao watakuwa wamenawa? Vp wakiacha korona kwenye kiti cha abiria baada ya kushika bomba wakati wa safari?
Usinawe ishi upendavyo
 
Sawa mimi nimenawa, je wenzangu wote watakaopanda bodaboda itakayonipeleka kazini nao watakuwa wamenawa? Vp wakiacha korona kwenye kiti cha abiria baada ya kushika bomba wakati wa safari?
Usinawe ishi upendavyo
 
Kwa vile tumeamua hatuwezi kuweka nchi yetu kwenye "lockdown" kutokana na watu wengi kutegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi zinazo walazimisha watoke majumbani, ni vizuri serikali ikaweka sheria ambazo zinaweza kusaidia kupunguza maambukizi ya corona.

Sheria moja ambayo napendekeza na nchi ambazo zimeshambuliwa vikali na janga hili wanaanza kutumia, ni watu wote wakitoka nje ya nyumba zao wavae masks/barakoa. Mtu ambae hatovaa mask/barakoa alipishwe faini.

Masks/barakoa sio lazima hiwe ya kutupa kila siku kwani inaweza kuleta gharama kubwa kwa wananchi; mtu anaweza kushonesha na akafua jioni. Ikiwezekana serikali igawe masks/barakoa za vitambaa bure kwa wananchi hili watu waendelee na miangaiko ya kila siku kama kawaida.

Wale ambao watapata dalili za corona yani homa kali, kukooa, na kushindwa kupumua watabaki majumbani au kwenda hospitali kama watazidiwa zaidi.

Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda na janga hili, lakini ni muhimu nasisi tuchukue hatua za kujikinga.
Screenshot_20200414-091815.png
 
Hizo barakoa za vitambaa na kufua zikoje Mkuu? Unajua kirusi anakaa kwa muda gani kwenye nguo?
 
Kwa vile tumeamua hatuwezi kuweka nchi yetu kwenye "lockdown" kutokana na watu wengi kutegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi zinazo walazimisha watoke majumbani, ni vizuri serikali ikaweka sheria ambazo zinaweza kusaidia kupunguza maambukizi ya corona.

Sheria moja ambayo napendekeza na nchi ambazo zimeshambuliwa vikali na janga hili wanaanza kutumia, ni watu wote wakitoka nje ya nyumba zao wavae masks/barakoa. Mtu ambae hatovaa mask/barakoa alipishwe faini.

Masks/barakoa sio lazima hiwe ya kutupa kila siku kwani inaweza kuleta gharama kubwa kwa wananchi; mtu anaweza kushonesha na akafua jioni. Ikiwezekana serikali igawe masks/barakoa za vitambaa bure kwa wananchi hili watu waendelee na miangaiko ya kila siku kama kawaida.

Wale ambao watapata dalili za corona yani homa kali, kukooa, na kushindwa kupumua watabaki majumbani au kwenda hospitali kama watazidiwa zaidi.

Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda na janga hili, lakini ni muhimu nasisi tuchukue hatua za kujikinga.
Tatizo watanzania ni wabishi na tunajifanya wajuaji. Naunga mkono hoja, tumechagua njia yetu ya kupambana na korona basi tuiimarishe Ili kukabiliana na upungufu wa mask (barakoa) wizara ya afya itoe muongozo wa mask za namna hii kama ikionekana zinaweza kufaa - JamiiForums
 
Back
Top Bottom