Tatizo kuna watu hawajui au hawataki kujua maana ya neno "sustainability"
 
Kuna mambo magum kuyatekeleza hapa hata kama na wewe ungekuwa sirikali”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
'watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa'
 
Nilimsikia Dr. Mmoja wa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, na huu ndio ushauri wake kupitia kituo Cha Azam Tv.
Amesema Mambo matamu, 1.Education 2.Exposure na 3.Experience.
Education
Watu wapewe elimu namna ya kujikinga na maambukizi. Waelewe na Kisha wazifuate
Exposure
Baada ya kuona wenyewe Hali ya maambukizi jinsi ugonjwa unavyoenea na kushuhudia vifo Sasa kwa zile hatua wanaweza kuchukua tahadhari kwa kupitia njia walizotumia awali ya kujikinga. Mfano waliokubali kufuata masharti wako huru na wale waliooteza Maisha bahati mbaya tunaweza kusema gepu la kujitenga linaweza kabisa kumlinda alioko hai akaendelea kuishi salama.
Experience
Hapa Ni kipindi ambacho tayari mtu Ana uelewa na tukio mfano athari za kutochukua tahadhari na kushuhudia vifo kwa watu wengine. Ni wakati ambapo maamuxi sahihi yanafanyika kwa picha halisi ya kilichotokea. Tunaweza kujikinga bila kutafuta ufadhili, zaidi Kila mmoja ajikinge na kumkinga mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: THT
Binafsi nimekuelewa hasa juu ya lockdown na sample testing during lockdown tukifanya hivi tutafanikiwa
 
Corona itakuwa imekupanda kichwani! Kwa nini usijilock down wewe na familia yako? Nani kakukataza kufanya hivyo?
Mataifa yote yaliotokea yalofanikiwa kupunguza maambukizi ya Corona , yaliwa lockdown watu wao . Hii haihitaji siasa wala hiyari .eg China , Germany, etc .

Ukiendekeza umasikini lazima ikugharimu

Odhis *
 

Mkuu katika hali ya kawaida tulihitaji watu kama wewe angalau kama wajumbe kwenye hizi tunazoambiwa Taskforces za kupambana na huu ugonjwa.

Mkuu wewe naona wa pili katika list hiyo baada ya bwana mwingine mwenye mawazo yaliyosimama kama yako (aliye na avatar ya madenge). Mngekuwa kwenye tume ile, kwa hakika tungeshashangilia ushindi.

Nikirejea kwenye mada. Umegonga penyewe hayupo anayepinga kuwa lockdown ingesaidia hatimaye kumaliza ugonjwa huu. Matatizo ni njaa na uchumi tu.

Ni kweli kuwa uchumi haiwezi kuwa priority dhidi ya maisha.

Hata hivyo mambo mawili niboreshe kwa mtizamo wangu:

1. Idadi ya watu kufa ni vyema ifahamike wanaokufa ni 5% - 10% kutegemea waathirika ni wangapi na raslimali zilizowekezwa katika afya katika sehemu husika au nchi. Ni vyema kujua kasi ya maambukizi ni kubwa mno na inakuwa kubwa zaidi kwa kadri wagonjwa wanavyoongezeka.

Kupata wagonjwa milioni 1 au hata milioni 10 kama hatua hazichukuliwi au ni butu kama hapa kwetu kwa sasa ni jambo la muda mfupi mno. Kumbuka pia huu ugonjwa unaua ndani ya wiki 2 - 3.

Ukiangalia kasi ya maambukizi, sehemu (proportion) ya vifo na muda hadi kufa, inaweza kutoeleweka vizuri (superficially) kudhani vifo ni kidogo.

Proportion ya wanaokufa kwa wanaoambukizwa ni kidogo lakini namba kwa jumla ni kubwa mno ikizingatiwa wanaoambukizwa ni wengi pia sana tu.

2. Hapa kwenye chakula na mahitaji muhimu nakubaliana nawe kwenye uaminifu. Hii isiwe fursa bali kuhakikisha hakuna anayekosa hayo mahitaji kwenye lile kiwango cha chini kabisa (bare minimum).

Asife mtu kwa njaa lakini ifahamike kuwa hii siyo picnic.

La mwisho kwenye kutokuwa fursa: si serikali wala yeyote ajinufaishe kwa hali ya sasa. Kodi, faini, faida na tozo zote ni muda wa kuzisimamisha sasa tupambane na adui yetu huyu kwanza.
 
Kuna mambo magum kuyatekeleza hapa hata kama na wewe ungekuwa sirikali”


Sent from my iPhone using JamiiForums

Yapi mkuu mkuu yasiyotejelezeka? Tuboreshe. Bottom line asife mtu kwa njaa.
 

Kujifunza kwa kuangalia vifo kumekaa je hapo?

Wanasema asiyejua kufa aangalie kaburi. Si kuwa auwe mtu kisha ajifunze.
 
"Wagonjwa wote waliyobaki (131) hali zao ni nzuri isipokuwa Wagonjwa 4 wanapatiwa matibabu ya Wagonjwa mahututi kutokana na kusumbuliwa na matatizo mengine ya kiafya."
 
Tatizo kuna watu hawajui au hawataki kujua maana ya neno "sustainability"


Mkuu naomba kuboresha hapa:

".... Pia bado naamin, athari za kiafya kama watakao fariki kutokana na virusi hivi bado watakua wachache kuliko watakao athirika kutokana na athari za kuepo ugojwa huu, haswa suala la uchumi na elimu. Hivyo ....."

Ninadhani hapako sahihi.

Hatua madhubuti zisipochukuliwa, tutakufa wote. Kasi ya maambukizi ni kubwa mno na hata aliyewahi kupona anaweza ambukizwa na akafa kwenye maambukizi mengine.

Ilikuwa muhimu sana kuangalia maisha kwanza kabla ya mengine yote.
 
Chukua kinywaji hapo nitalipa [emoji109]
 
"Wagonjwa wote waliyobaki (131) hali zao ni nzuri isipokuwa Wagonjwa 4 wanapatiwa matibabu ya Wagonjwa mahututi kutokana na kusumbuliwa na matatizo mengine ya kiafya."

Mkuu unavyoona wewe hiyo namba ni ndogo tu na hatutaongezeka zaidi? Au hiyo namba ni ndogo na halali hivyo tuko vizuri?

Tatizo la ugonjwa huu liko kwenye mlinganisho wa kasi ya idadi ya wanaopona kulinganisha na kasi ya idadi ya maambukizi mapya.

Kwenye hizo ulizoweka hapo hakuna moja yenye kuonyesha maambukizi mapya ni mangapi wala waliopona katika kipindi hicho ni wangapi.

Ndiyo maana japo USA, Spain, Italy, Germany nk bado watu wanaokufa ni wengina wagonjwa ni wengi tu tayari wameshatangaza ushindi.

Angalia hii attachment kuona mantiki kwenye hilo (if you like):



Ndiyo maana Rwanda au Uganda wagonjwa hawajafa na hiyo uliyoweka kwenye red haiwahusu.

Tuacheni kuuvaa uiziraeli kuhalalisha idadi au watu kufa.
 
Unajua suala hili sio la kisiasa bali practicality, sasa unatakiwa uchukua vitu vingi inputs ndio upate different scenarios za output. Including time.
Na marejeo ya vitu kama hivi vilivyotokea miaka mingi iliyopita kama hiyo Spanish flu au influenza n.k pamoja na natural therapy ambazo Mungu ametupa kama unaamini ktk Uwepo wa Mungu ikiwemo hewa safi.
The basic thing kwa nchi kama za kwetu ambapo uchumi ni mdogo na ajira ni chache our basic thing for survival ni nini??
Ambacho kipo siku zote na unaweza kufanya bila kibali cha mtu yeyote ??

Na huko hakuna exposure kwa interaction ya watu wengi??

Secondly impact yake kiuchumi na huduma zingine za kujamii itakuwaje ikiwemo ulinzi na usalama, na hizo medical
 
Be sensible , death inakuwa caused na other underlining health issues za mgonjwa na sio hizo kukosekana na rigorously efforts to contain the disease.
In fact licha ya kuwepo hizo rigorously efforts bado kuna wagonjwa kama tulivyopewa data hapo juu.
 

Mkuu sisi hatuko vibaya ki raslimali kulinganisha na vi nchi kama Rwanda.

Rwanda, Uganda na Kenya wenzetu hawa wamechukua hatua na wako vizuri.

Muda unavyokwenda itatugharimu zaidi.

Wekeni siasa na mambo ya dini pembeni. Kasi ya maambukizi ni lazima ikomeshwe or else twafa:

Corona ni uzembe wetu isingetufikia, na itatumaliza tusipoamka sasa - ukweli mchungu - JamiiForums
 
Be sensible , death inakuwa caused na other underlining health issues za mgonjwa na sio hizo rigorously efforts to contain the disease.

Mkuu tusijidanganye. Uganda na Rwanda hawana cases za vifo vinavyosababishwa na Corona. Hii siyo ajali. Hawajisifu nayo na wala hawajasema, wala sijasema hatakufa mtu huko.

Zinapokuwa na wagonjwa wachache facilities zinaweza kutosheleza zaidi. Zinapohitajika ventilators zaidi kuliko uwezo unategemea nini?

Hata hivyo kwamba walichukua hatua kali mapema si siri imewasaidia sana na kuwa vifo hamna, kasi ya maambukizi imedhibitiwa hizo ni indicators kuwa wako vizuri.

Mkuu the data in the attached is real:

 
Nimekupinga kwenye suala moja la kutoa chakula etc ,
Sasa ningependa kukuuliza Uganda au Rwanda wamefanya hivyo ??

Halafu unajua uchumi wa Kenya ulivyo ???
Na Rwanda na Uganda wamepata misaada kiasi gani ktk kuendesha shughuli zao za kila siku
 
Nimekupinga kwenye suala moja la kutoa chakula etc ,
Sasa ningependa kukuuliza Uganda au Rwanda wamefanya hivyo ??

Halafu unajua uchumi wa Kenya ulivyo ???
Na Rwanda na Uganda wamepata misaada kiasi gani ktk kuendesha shughuli zao za kila siku

Mkuu tatizo hamsomi kujiridhisha kama unachoandika ni kigeni au kiliisha ongelewa. Mnakuwa kama mmewasili tokea sayari nyingine.

Inatia uvivu hata kuwajibu.

Hivi huu uzi uliuona? Hata Bakhresa katoa msaada kwenye baadhi ya hizo nchi kuunga mkono juhudi:

Hoja za wanaoona lockdown haifai ni zipi? Tuelimishane - JamiiForums

Kwa hiyo tatizo lako ni misaada ndiyo sasa mnakomoa nani hadi mpatiwe misaada?

Askofu Niwemugizi kaonyesha njia kuna ya kujifunza pale(ujasiri).
 
Sijasema data sio really, nimesema death zinasababishwa na other underlining issues za mgonjwa.
Kuhusu ventilators usitake kuniambia wakiokufa Tanzania, ni kwa sababu hawakuwekewa ventilator, bali wakiokufa kutokana na hizo underlining issue za mgonjwa, na rate ya wagonjwa kwetu imeongezeka siku tatu au nne zilizopita ambazo zinaweza kuwa caused na small mistakes walizofanya wagonjwa e.g. Prince Charles na kuwekewa kila kitu Mezani , kwenye gari na kuishia nyumba kubwa na hewa safi bado walipata, Pm wa UK, Mke wa Pm wa Canada, Coach wa Arsenal, owner wa Olympiakos the list is long
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…