Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataifa yote yaliotokea yalofanikiwa kupunguza maambukizi ya Corona , yaliwa lockdown watu wao . Hii haihitaji siasa wala hiyari .eg China , Germany, etc .Corona itakuwa imekupanda kichwani! Kwa nini usijilock down wewe na familia yako? Nani kakukataza kufanya hivyo?
Binafsi nadhani maamuzi haya ynagechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale waziri mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikua hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukua na mpango mkakati madhubuti wa kukabiliana na COVID-19, Zaidi ya makatazo ya kuepuka mikusanyiko na kunawa mikono na maombi. Lakini hu sio muda wa kuendelea kulaumiana Zaidi ni wakati wa kupeana mawazo na kushauriana.
- Uzi huu ni mrefu.
- Mod msiuunganishe naomba.
- Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Pia bado naamin, athari za kiafya kama watakao fariki kutokana na virusi hivi bado watakua wachache kuliko watakao athirika kutokana na athari za kuepo ugojwa huu, haswa suala la uchumi na elimu. Hivyo ni lazima kuwe na mpango mkakati wa haswa kuhakikisha kua baada ya muda furani tuwe tumefikia jambo Fulani.
Any way, binafsi kama ningekua na mamlaka ningetuimia njia hii kutatua tatizo la hili |Ushauri wangu.
Nini cha kufanya?
- Kwanza ni lazima kila mmoja ( serikali na wananchi kwa ujumla) kuwa na fikra ya kutatua tatizo na si kutengeneza faida, waswahili husema hasara roho, pesa makaratasi na zinatafuwa, huu ni wakati wa serikali na wananchi kujua kua nchi iko kwenye vita kubwa sana na inapambana na adui wa ajabu asie onekana menye madhara lukuki ikiwemo kupoteza maisha na hali mbaya ya uchumi, amapo kama serikali ni lazima iwe tayari kutumia rasilimali zilizopo katika kunusuru taifa, rasilimali hizi kama fedha na watu na miundombinu
- Serikali inainishe maeneo ambayo yako hatarishi Zaidi katika maambukizi ya virusi vya Corona, naamini yako wazi. Maeneo mengi ya mjini yanamuingiliano mkuwa wa watu kutokana na shuhuli zao za kiuchumi.
- Baada ya kuanisha maeneo hayo, viongozi wa mtaa na katika maeneo yalioainishwa wapite wachukue idadi ya watu wote katika mtaa husika wakizingatia mambo yafuatayo:-
- Idadi ya watu katika nyumba husika (hili nimesikia limefanyika maeneo ya Dar sina uhakika.
- Hali yao ya kiuchumi
- Kuchukua mawasiliano wa watu wawili waliopo katika nyumba hiyo na kuacha mawasiliano ya viongozi wawili wa mtaa husika.( namba za simu zenye uhakika).
- Baada ya hatua ya kuainiasha maeneo na kujua wakazi namba ya wakazi husika na hali zao za kimaisha, serikali ikishirikiana na wadau, waangize bidhaa muhimu kutoka nje( kwenye upungufu) pia kwa wakati huu serikali inunue au iongoze vifaa vya kupimia Virusi vya corona Viwepo kwa wingi Zaidi visambazwe kila wilaya. Kama nilivyosema huu ni wakati wa kutumia rasilimali tulizonazo katika kupamba na janga hili si wakati wa kuanza kuangalia faida.
- Hatua ya nne ni serikali kugawa chakula kwa familia zilizo na uchumi duni ambao hawana uwezo wa kuishi kwa siku ishirini na moja wakiwa ndani. Hatua hii inahitaji unaminifu na uadilifu kwa viongozi wa serikali wanaokadiria hali za kiuchumi za wananchi na pia kwa wananchi ambao watakua wanaeleza uhalisia wa maisha yao ili wasiibebeshe serikali mzingo ambao wanauweza, wasiwakoseshe wale wenye uhitaji na wala wasionewe. Watu wanosihi kijijini wengi chakula wanacho, shida walionayo ni hela ya kusagia mahindi, hela ya sukari chunvi na mafuta ya taa.
- Hatua ya tano serikali itangaze lockdown kwa siku ishirini na moja (21) . Hapa wananchi wakiwa tayari wana mahitaji muhimu hasa chakula. Katika kipindi hiki.
- Serikali itumie vyombo vya usalama katika kuhakikisha watu wanafata utaratibu lakini wawe ni wenye kuelewa kuepuka maafa kama yaliotokea nchi nyingine.
- Tangazo la kua lockdown liwe mapema na watu kufanya maandalizi ikiwa ni pamoja na wale watakao pewa msaada mapema
- Katoka kipindi hiki cha wiki tatu, kodi za biashara, umeme na maji viwe free kwa ambao luku zao zitaisha basi wasizime, pia wakadirie matumizi ya maji ya wiki tatu wasihesabu katika bili ya maji.
- Mawasiliano ya karibu ya viogozi wa serikali katika kujua kinachoondelea latika kila kaya, hasa kwa dharura ya wagonjwa na mama wajawazito kuweza kupatiwa uduma.
- Wale wanotamulika kama homeless na watoto wa mitaani, watafutiwe sehemu ya kuhifadhiwa( nashauri kwenye walo moja la kambi ya jeshi mana watakua na adabu, au watakapo wekwa wasimamiwe na wanajeshi).
- Mipaka ifungwe kabisa.
- Wiki ya pili ya lockdown, yaani siku ya kumi na nne (14), serikali ichukue sampuli ya watu wawili au mmoja kutoka katika kila nyumba, nashauri awe yule anaetoka toka sana( mtafutaji) na yule mtu mzima Zaidi au ambao anaumwa. Lengo na madhumuni ni kua,
- kwa kipindi cha wiki mbili kama kama mtu alikua na virusi basi atajulikana.
- Lengo la kuchukua mtu mzima au yule mgojwa ni kua, mwenye virusi anaweza kua yuko na kinga madhubutu hivyo kwa mtu mzima itasaidia hugundulika mapema.
- Kuchukua watu wawili au hata mmoja kila nyumba kutasaidia kupunguza utumiaji wa rasilimali katika upimaji. Mfano kama idadi ya watu katika kaya yenye nyumba 300 na watu 2000, then tunapima 300 au 600 (kama wakichukua kila nyumba wawili) badala ya watu 2000.
- Baada ya kuchukua sampuli kutoka katika kila nyumba, kutegemea na siku watakazo tumia. Kasha nyumba zitakazo kutwa na maambukizi watawekwa katika ungalizi( kutotoka au kuwapeleka katika maeneo maalumu yaliotengwa ) na kui disinfect nyumba.
- Baada ya kuchukua familia zilizokutwa positive, kutegemea na siku zilizotumika kupima na kupata majibu, na kufanya mapendekezo ya namba saba, the tunaweza kufungua shule na shughuli zikaendelea huku tukiendelea na tahadhali, suala la level seat likendelea, kunawa mikono na uvaaji wa barakoa.
Haya ni mawazo yangu ya jinsi ninavyoona jinsi gani ya kuweza kupambana na suala hili.
- Katika kipindi chote hicho , serikali isisite kufanya utafiti katika jamii mbalimbali kwa asili yao kwa jinsi walivyoweza kupambana na magonjwa ya mfumo wa hela ili kuangalia uwezekano wa tiba mbadala.
Aman ya BWANA iwe nayi wote.
Kuna mambo magum kuyatekeleza hapa hata kama na wewe ungekuwa sirikali”
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilimsikia Dr. Mmoja wa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, na huu ndio ushauri wake kupitia kituo Cha Azam Tv.
Amesema Mambo matamu, 1.Education 2.Exposure na 3.Experience.
Education
Watu wapewe elimu namna ya kujikinga na maambukizi. Waelewe na Kisha wazifuate
Exposure
Baada ya kuona wenyewe Hali ya maambukizi jinsi ugonjwa unavyoenea na kushuhudia vifo Sasa kwa zile hatua wanaweza kuchukua tahadhari kwa kupitia njia walizotumia awali ya kujikinga. Mfano waliokubali kufuata masharti wako huru na wale waliooteza Maisha bahati mbaya tunaweza kusema gepu la kujitenga linaweza kabisa kumlinda alioko hai akaendelea kuishi salama.
Experience
Hapa Ni kipindi ambacho tayari mtu Ana uelewa na tukio mfano athari za kutochukua tahadhari na kushuhudia vifo kwa watu wengine. Ni wakati ambapo maamuxi sahihi yanafanyika kwa picha halisi ya kilichotokea. Tunaweza kujikinga bila kutafuta ufadhili, zaidi Kila mmoja ajikinge na kumkinga mwenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kuna watu hawajui au hawataki kujua maana ya neno "sustainability"
Chukua kinywaji hapo nitalipa [emoji109]Binafsi nadhani maamuzi haya ynagechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale waziri mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikua hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukua na mpango mkakati madhubuti wa kukabiliana na COVID-19, Zaidi ya makatazo ya kuepuka mikusanyiko na kunawa mikono na maombi. Lakini hu sio muda wa kuendelea kulaumiana Zaidi ni wakati wa kupeana mawazo na kushauriana.
- Uzi huu ni mrefu.
- Mod msiuunganishe naomba.
- Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Pia bado naamin, athari za kiafya kama watakao fariki kutokana na virusi hivi bado watakua wachache kuliko watakao athirika kutokana na athari za kuepo ugojwa huu, haswa suala la uchumi na elimu. Hivyo ni lazima kuwe na mpango mkakati wa haswa kuhakikisha kua baada ya muda furani tuwe tumefikia jambo Fulani.
Any way, binafsi kama ningekua na mamlaka ningetuimia njia hii kutatua tatizo la hili |Ushauri wangu.
Nini cha kufanya?
- Kwanza ni lazima kila mmoja ( serikali na wananchi kwa ujumla) kuwa na fikra ya kutatua tatizo na si kutengeneza faida, waswahili husema hasara roho, pesa makaratasi na zinatafuwa, huu ni wakati wa serikali na wananchi kujua kua nchi iko kwenye vita kubwa sana na inapambana na adui wa ajabu asie onekana menye madhara lukuki ikiwemo kupoteza maisha na hali mbaya ya uchumi, amapo kama serikali ni lazima iwe tayari kutumia rasilimali zilizopo katika kunusuru taifa, rasilimali hizi kama fedha na watu na miundombinu
- Serikali inainishe maeneo ambayo yako hatarishi Zaidi katika maambukizi ya virusi vya Corona, naamini yako wazi. Maeneo mengi ya mjini yanamuingiliano mkuwa wa watu kutokana na shuhuli zao za kiuchumi.
- Baada ya kuanisha maeneo hayo, viongozi wa mtaa na katika maeneo yalioainishwa wapite wachukue idadi ya watu wote katika mtaa husika wakizingatia mambo yafuatayo:-
- Idadi ya watu katika nyumba husika (hili nimesikia limefanyika maeneo ya Dar sina uhakika.
- Hali yao ya kiuchumi
- Kuchukua mawasiliano wa watu wawili waliopo katika nyumba hiyo na kuacha mawasiliano ya viongozi wawili wa mtaa husika.( namba za simu zenye uhakika).
- Baada ya hatua ya kuainiasha maeneo na kujua wakazi namba ya wakazi husika na hali zao za kimaisha, serikali ikishirikiana na wadau, waangize bidhaa muhimu kutoka nje( kwenye upungufu) pia kwa wakati huu serikali inunue au iongoze vifaa vya kupimia Virusi vya corona Viwepo kwa wingi Zaidi visambazwe kila wilaya. Kama nilivyosema huu ni wakati wa kutumia rasilimali tulizonazo katika kupamba na janga hili si wakati wa kuanza kuangalia faida.
- Hatua ya nne ni serikali kugawa chakula kwa familia zilizo na uchumi duni ambao hawana uwezo wa kuishi kwa siku ishirini na moja wakiwa ndani. Hatua hii inahitaji unaminifu na uadilifu kwa viongozi wa serikali wanaokadiria hali za kiuchumi za wananchi na pia kwa wananchi ambao watakua wanaeleza uhalisia wa maisha yao ili wasiibebeshe serikali mzingo ambao wanauweza, wasiwakoseshe wale wenye uhitaji na wala wasionewe. Watu wanosihi kijijini wengi chakula wanacho, shida walionayo ni hela ya kusagia mahindi, hela ya sukari chunvi na mafuta ya taa.
- Hatua ya tano serikali itangaze lockdown kwa siku ishirini na moja (21) . Hapa wananchi wakiwa tayari wana mahitaji muhimu hasa chakula. Katika kipindi hiki.
- Serikali itumie vyombo vya usalama katika kuhakikisha watu wanafata utaratibu lakini wawe ni wenye kuelewa kuepuka maafa kama yaliotokea nchi nyingine.
- Tangazo la kua lockdown liwe mapema na watu kufanya maandalizi ikiwa ni pamoja na wale watakao pewa msaada mapema
- Katoka kipindi hiki cha wiki tatu, kodi za biashara, umeme na maji viwe free kwa ambao luku zao zitaisha basi wasizime, pia wakadirie matumizi ya maji ya wiki tatu wasihesabu katika bili ya maji.
- Mawasiliano ya karibu ya viogozi wa serikali katika kujua kinachoondelea latika kila kaya, hasa kwa dharura ya wagonjwa na mama wajawazito kuweza kupatiwa uduma.
- Wale wanotamulika kama homeless na watoto wa mitaani, watafutiwe sehemu ya kuhifadhiwa( nashauri kwenye walo moja la kambi ya jeshi mana watakua na adabu, au watakapo wekwa wasimamiwe na wanajeshi).
- Mipaka ifungwe kabisa.
- Wiki ya pili ya lockdown, yaani siku ya kumi na nne (14), serikali ichukue sampuli ya watu wawili au mmoja kutoka katika kila nyumba, nashauri awe yule anaetoka toka sana( mtafutaji) na yule mtu mzima Zaidi au ambao anaumwa. Lengo na madhumuni ni kua,
- kwa kipindi cha wiki mbili kama kama mtu alikua na virusi basi atajulikana.
- Lengo la kuchukua mtu mzima au yule mgojwa ni kua, mwenye virusi anaweza kua yuko na kinga madhubutu hivyo kwa mtu mzima itasaidia hugundulika mapema.
- Kuchukua watu wawili au hata mmoja kila nyumba kutasaidia kupunguza utumiaji wa rasilimali katika upimaji. Mfano kama idadi ya watu katika kaya yenye nyumba 300 na watu 2000, then tunapima 300 au 600 (kama wakichukua kila nyumba wawili) badala ya watu 2000.
- Baada ya kuchukua sampuli kutoka katika kila nyumba, kutegemea na siku watakazo tumia. Kasha nyumba zitakazo kutwa na maambukizi watawekwa katika ungalizi( kutotoka au kuwapeleka katika maeneo maalumu yaliotengwa ) na kui disinfect nyumba.
- Baada ya kuchukua familia zilizokutwa positive, kutegemea na siku zilizotumika kupima na kupata majibu, na kufanya mapendekezo ya namba saba, the tunaweza kufungua shule na shughuli zikaendelea huku tukiendelea na tahadhali, suala la level seat likendelea, kunawa mikono na uvaaji wa barakoa.
Haya ni mawazo yangu ya jinsi ninavyoona jinsi gani ya kuweza kupambana na suala hili.
- Katika kipindi chote hicho , serikali isisite kufanya utafiti katika jamii mbalimbali kwa asili yao kwa jinsi walivyoweza kupambana na magonjwa ya mfumo wa hela ili kuangalia uwezekano wa tiba mbadala.
Aman ya BWANA iwe nayi wote.
"Wagonjwa wote waliyobaki (131) hali zao ni nzuri isipokuwa Wagonjwa 4 wanapatiwa matibabu ya Wagonjwa mahututi kutokana na kusumbuliwa na matatizo mengine ya kiafya."
Unajua suala hili sio la kisiasa bali practicality, sasa unatakiwa uchukua vitu vingi inputs ndio upate different scenarios za output. Including time.Mkuu naomba kuboresha hapa:
".... Pia bado naamin, athari za kiafya kama watakao fariki kutokana na virusi hivi bado watakua wachache kuliko watakao athirika kutokana na athari za kuepo ugojwa huu, haswa suala la uchumi na elimu. Hivyo ....."
Ninadhani hapako sahihi.
Hatua madhubuti zisipochukuliwa, tutakufa wote. Kasi ya maambukizi ni kubwa mno na hata aliyewahi kupona anaweza ambukizwa na akafa kwenye maambukizi mengine.
Ilikuwa muhimu sana kuangalia maisha kwanza kabla ya mengine yote.
Be sensible , death inakuwa caused na other underlining health issues za mgonjwa na sio hizo kukosekana na rigorously efforts to contain the disease.Mkuu unavyoona wewe hiyo namba ni ndogo tu na hatutaongezeka zaidi? Au hiyo namba ni ndogo na halali hivyo tuko vizuri?
Tatizo la ugonjwa huu liko kwenye mlinganisho wa kasi ya idadi ya wanaopona kulinganisha na kasi ya idadi ya maambukizi mapya.
Kwenye hizo ulizoweka hapo hakuna moja yenye kuonyesha maambukizi mapya ni mangapi wala waliopona katika kipindi hicho ni wangapi.
Ndiyo maana japo USA, Spain, Italy, Germany nk bado watu wanaokufa ni wengina wagonjwa ni wengi tu tayari wameshatangaza ushindi.
Angalia hii attachment kuona mantiki kwenye hilo (if you like):
View attachment 1423319
Ndiyo maana Rwanda au Uganda wagonjwa hawajafa na hiyo uliyoweka kwenye red haiwahusu.
Tuacheni kuuvaa uiziraeli kuhalalisha idadi au watu kufa.
Unajua suala hili sio la kisiasa bali practicality, sasa unatakiwa uchukua vitu vingi inputs ndio upate different scenarios za output. Including time.
Na marejeo ya vitu kama hivi vilivyotokea miaka mingi iliyopita kama hiyo Spanish flu au influenza n.k pamoja na natural therapy ambazo Mungu ametupa kama unaamini ktk Uwepo wa Mungu ikiwemo hewa safi.
The basic thing kwa nchi kama za kwetu ambapo uchumi ni mdogo na ajira ni chache our basic thing for survival ni nini??
Ambacho kipo siku zote na unaweza kufanya bila kibali cha mtu yeyote ??
Na huko hakuna exposure kwa interaction ya watu wengi??
Secondly impact yake kiuchumi na huduma zingine za kujamii itakuwaje ikiwemo ulinzi na usalama, na hizo medical
Be sensible , death inakuwa caused na other underlining health issues za mgonjwa na sio hizo rigorously efforts to contain the disease.
Nimekupinga kwenye suala moja la kutoa chakula etc ,Mkuu sisi hatuko vibaya ki raslimali kulinganisha na vi nchi kama Rwanda.
Rwanda, Uganda na Kenya wenzetu hawa wamechukua hatua na wako vizuri.
Muda unavyokwenda itatugharimu zaidi.
Wekeni siasa na mambo ya dini pembeni. Kasi ya maambukizi ni lazima ikomeshwe or else twafa:
Corona ni uzembe wetu isingetufikia, na itatumaliza tusipoamka sasa - ukweli mchungu - JamiiForums
Nimekupinga kwenye suala moja la kutoa chakula etc ,
Sasa ningependa kukuuliza Uganda au Rwanda wamefanya hivyo ??
Halafu unajua uchumi wa Kenya ulivyo ???
Na Rwanda na Uganda wamepata misaada kiasi gani ktk kuendesha shughuli zao za kila siku
Sijasema data sio really, nimesema death zinasababishwa na other underlining issues za mgonjwa.Mkuu tusijidanganye. Uganda na Rwanda hawana cases za vifo vinavyosababishwa na Corona. Hii siyo ajali. Hawajisifu nayo na wala hawajasema, wala sijasema hatakufa mtu huko.
Zinapokuwa na wagonjwa wachache facilities zinaweza kutosheleza zaidi. Zinapohitajika ventilators zaidi kuliko uwezo unategemea nini?
Hata hivyo kwamba walichukua hatua kali mapema si siri imewasaidia sana na kuwa vifo hamna, kasi ya maambukizi imedhibitiwa hizo ni indicators kuwa wako vizuri.
Mkuu the data in the attached is real:
View attachment 1423356