DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
mwingine nani aliyekufa?
mbna unasikitika mkuuAisee🤧🤧
Kuna kuchanganyikiwa hapa na sikama watakavyo, tuwaombee hekima kwa Mungu maana huu ni mwanzo tu, tutarajie magumu zaidi.
Ni kama mmeamua kutuaacha wananchi kila mtu ajihangaikie kivyake, kama chama tu tuna uwezo wa kugawa Tshirt, kofia, khanga, vipeperushi, mabango na posho nchi nzima kipindi cha kampeni.. Serikali inashindwa ku-waorganize wafanyabiashara wakubwa na wadau wengine wa afya kushirikiana na serikali tukapata Barakoa bure kabisa kwa kila mwananchi? kama mmeshindwa kwa nini msitoe msamaha wa kodi kwa hizi bidhaa ili zipatikane kirahisi kipindi hiki na kwa bei nafuu angalau ya tsh 500? Angalia sasa watu wanakimbilia kusafiri kurudi kijijini bila kupimwa nyie serikali ni kama hampo, siku si nyingi huko vijijini nako ugonjwa unaenda kutapakaa.. Jamani hivi nini kazi yenu?
Hao migambo na polisi mnaoweka kukamata wasiovaa Barakoa ni wa nini wakati upatikanaji wake bado ni kizungumkuti? Gawa kwa watu halafu wakamate wasipovaa, sio kama mnavyotaka kufanya hivi sasa..,Katibu mkuu wangu bashiru saidia kuwashauri hawa watu maana mpaka sasa raia hawajui wafuate lipi,ummy alishawahi kusema wanaotakiwa kuvaa barakoa ni wale waliopatwa na maambukizi tu juzi makonda kasema watu wavae barakoa hata za vitambaa vya khanga, naibu waziri wa afya akatoa kauli bungeni kwamba kuna barakoa maalum kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya corona sio kuvaa yoyote watu hawajui washike lipi?
Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha watu wasio na nia njema wamekusanya barakoa zilizotupwa wanazifua, wanazipiga pasi halafu wanaziuza tena kwa watu jambo ambalo ni hatari kwa afya, wapo wanaovaa barakoa zilizotengenezwa kwa material ya sidiria za mitumba ambapo pia kiafya sio rafiki..Mko wapi serikali MKO KIMYA😎, mnawezaje kukaa siku mbili hadi tatu bila kutoa maelekezo yoyote kipindi hiki,taarifa hazitolewi, tetesi zinaachwa zisambae na kuleta taharuki🙃🙃
Mmetuacha tujiiendee kama meli isiyokuwa na nahodha, mnajua kwa nini tunawahudumia kila kitu bure na familia zenu kwa malipo ya kodi zetu? Hapa mnacheza sandakarawena maisha yetu
viongozi wetu kuweni serious na maisha yetu, ni kama mmewatelekeza watanzania na sasa kila mmoja anapambana kivyake..., angalieni hapo kenya tu serikali inagawa hivi vifaa vyote bure, kwa nini sisi? Jamani 😭😭
Amekimbia kwenda kujificha akadhani kuwa corona inapita anashangaaa tu inapaa ikimtafuta huko aliko, mwambieni atoke mafichoni hukoNi kama mmeamua kutuaacha wananchi kila mtu ajihangaikie kivyake, kama chama tu tuna uwezo wa kugawa Tshirt, kofia, khanga, vipeperushi, mabango na posho nchi nzima kipindi cha kampeni. Serikali inashindwa ku-waorganize wafanyabiashara wakubwa na wadau wengine wa afya kushirikiana na serikali tukapata Barakoa bure kabisa kwa kila mwananchi?
Kama mmeshindwa kwa nini msitoe msamaha wa kodi kwa hizi bidhaa ili zipatikane kirahisi kipindi hiki na kwa bei nafuu angalau ya tsh 500? Angalia sasa watu wanakimbilia kusafiri kurudi kijijini bila kupimwa nyie serikali ni kama hampo, siku si nyingi huko vijijini nako ugonjwa unaenda kutapakaa.. Jamani hivi nini kazi yenu?
Hao migambo na polisi mnaoweka kukamata wasiovaa Barakoa ni wa nini wakati upatikanaji wake bado ni kizungumkuti? Gawa kwa watu halafu wakamate wasipovaa, sio kama mnavyotaka kufanya hivi sasa.
Katibu mkuu wangu bashiru saidia kuwashauri hawa watu maana mpaka sasa raia hawajui wafuate lipi Ummy alishawahi kusema wanaotakiwa kuvaa barakoa ni wale waliopatwa na maambukizi tu juzi makonda kasema watu wavae barakoa hata za vitambaa vya khanga, naibu waziri wa afya akatoa kauli bungeni kwamba kuna barakoa maalum kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya corona sio kuvaa yoyote watu hawajui washike lipi?
Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha watu wasio na nia njema wamekusanya barakoa zilizotupwa wanazifua, wanazipiga pasi halafu wanaziuza tena kwa watu jambo ambalo ni hatari kwa afya, wapo wanaovaa barakoa zilizotengenezwa kwa material ya sidiria za mitumba ambapo pia kiafya sio rafiki.
Mko wapi serikali MKO KIMYA😎, mnawezaje kukaa siku mbili hadi tatu bila kutoa maelekezo yoyote kipindi hiki,taarifa hazitolewi, tetesi zinaachwa zisambae na kuleta taharuki[emoji854][emoji854]
Mmetuacha tujiiendee kama meli isiyokuwa na nahodha, mnajua kwa nini tunawahudumia kila kitu bure na familia zenu kwa malipo ya kodi zetu? Hapa mnacheza sandakarawena maisha yetu.
Viongozi wetu kuweni serious na maisha yetu, ni kama mmewatelekeza watanzania na sasa kila mmoja anapambana kivyake..., angalieni hapo kenya tu serikali inagawa hivi vifaa vyote bure, kwa nini sisi? Jamani [emoji24][emoji24]
Huyu atakuwa gwajima jinga Kabisa hili serikali ipi iliyoenda kujificha chato?Acha kuleta uchuro
Seek respect, not attention. It lasts longer
Akil za kuambiwa changanya na za kwako fanya lockdown kwenye familia yako! Mkuu hali imeshakuwa mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ukinishauri ndo umepoteza kabisa,yaani unataka niweke lockdown usifanye kazi eee? Hiiiiii nasema sipangiwi,watanzania chapeni kaziRaisi Magufuli, Wakati hauko upande wako yafuatayo ni mapendekezo ya Kizalendo kabisa natoa, kama nilivyotoa mwanzoni kabisa mwa janga hili lilipoanza, Nilipendekeza Tuzuie watu kutoka nje wasiingie nchini, kwa maana mipaka yote ya nchi ifungwe (isipokuwa kwa situation maalum za. mizigo kuingia na kutoka)
hatuna jinsi sasa ni muda wa maamuzi magumu.
Situation tuliyo nayo ni ngumu kuliko hata wakati wa vita ya Kagera, ni mgumu kuliko hata harakati za kudai uhuru, WAKATI HUU TULIO NAO NI TISHIO LA, UWEPO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WATU WAKE
1. Kama unaweza kuilisha dar, Arusha, Mwanza na Miji yetu mikubwa piga lockdown yote nyumba kwa nyumba, Kama huwezi basi Piga Lockdowndown miji hiyo kwa level ya kata, siyo nyumba kwa nyumba, aliyeko Mwenge asiende kinondoni, aliyeko Kinondoni asiende Posta, masoko ya chakula yawe wazi, Hospitali ziwe wazi, watu watoke mmoja mmoja kwa ajili ya essential goods. Hakikisha unaplan vizuri watu hawafi kwa njaa, Mtihani upo kwenye watu kula Hapa umiza kichwa sana
2. Kopa watumishi wa umma kwa muda wa miezi miwili, Kata mishahara Ya watumishi wa Umma wenye kipato cha milioni moja kwenda juu kata 50%, wenye kipato cha laki tano kuja chini kata 10%. Hizi pesa ziwe deni la ndani ambalo serikali itakuja kulipa siku moja. Hizi pesa zitumike kununulia Chakula na Kukigawa bure kwa wananchi.
5. Ndani ya mikoa, kwenye mikoa ambayo haijaathiriwa sana, Funga nchi kwa level ya wilaya, mtu asitoke wilaya moja kwenda wilaya myingine.
6. Funga nchi yote kwa level ya mkoa, Safari zote za mikoa zife
8. Chagua nyumba kadhaa kila kata za miji ya Dar, Arusha, Mwanza na ile ambayo inaonyesha dalili za kuwa hardly hit
7. Rasilimali za Jeshi la wananchi kama vile magari ya kijeshi zitumike kusambaza bidhaa muhimu nchi nzima, kwenye masoko na kwenye supply point katika kila kata, na kila Mwenye usafiri wa gari katika kila kata awe identified ili awe supplier wa essential goods katika kata yake, awezeshwe kwa mafuta
9. Tumia mtandao ulionao, Matawi ya CCM, Viongozi wa nyumba kumikumi, Misikiti ya maeneo, Makanisa, Vituo vya polisi, Hapa pia uwe makini isije ikaonekana misaada inakuja kwa misingi ya udini, uchama n. k
9. Challenge kubwa ni wale watu wasio na makazi maalum, ambao hula magengeni, ambao hawajui kupika, ambao hawana nyenzo za kupika, Hapa inabidi uumize kichwa kwelikweli maana ukikosea hapa watu watavamia nyumba nyingine kupora chakula. Hapa unaweza kutumia shule za msingi na sekondari zilizofungwa kuwaweka hawa na kuwasaidia kwa chakula.
10. Tulipeleka vijana wetu JKT siyo wakapige kwata, bali kwenye wakati kama huu tuwaite on duty watekeleze duty kama za kusimamia order kwenye kipindi kama hiki, kwa hiyo hawa ambao ni reserve army waitwe wasaidie kuimplement lockdown hizo nilizopendekeza
Mzee Ulikosea kutofunga mipaka hapo awali kwa kuhofia uchumi(Kama alivyosema Polepole), Sasa Uliacha kuuanika, leo tunautwanga mbichi.
Wahenga hawakuwa Wajinga kusema heri kinga kuliko tiba!
NIMEONA TYPING ERROR KWENYE HEADING BUT NAAMINI MODS WATAREKEBISHAKibooo...umesoma lakn ulichoandika hapa!?