Mzee Ulikosea kutofunga mipaka hapo awali kwa kuhofia uchumi(Kama alivyosema Polepole), Sasa Uliacha kuuanika, leo tunautwanga mbichi.
Wahenga hawakuwa Wajinga kusema heri kinga kuliko tiba!
Sikukusoma baadhi ya sehemu, kwa sababu unayopendekeza toka huko juu hayana nguvu tena.

Kinachoweza kufanyika sasa nchi nzima ni kuhimiza yanayofanyika kama njia za kinga yafanyike nchi nzima kwa msisitizo na ukamilifu zaidi.

1. Himiza kuvaa barakoa kwa kila mtu, hata kama ni kukunja kanga au nguo yoyote ile na kujifunika nayo puani na mdomoni kila anapotoka nje ya nyumba. Hii isisitizwe kabisa, bila kukosa.

2. Usafi, kunawa mikono na kusafisha sehemu zote zinazotumika, kama meza, n.k. na kutumia 'sanitizers'. Wananchi wasaidiwe kuwa na vifaa hivi kila wakati na kuvitumia.

3. Kuachana kabisa na mikusanyiko ya watu ya aina yoyote ile, hata hiyo ya kuabudu. Mungu ni mwema sana kwa binaadam, sijui kwa nini watu hupenda kumfanya aonekane kama hana uwezo wa kusikia sala sehemu yoyote ile, hata toka chooni.

Watu waendelee na shughuli zao za kipato, mradi "Social Distance" izingatiwe kila sehemu. Na sehemu hizo usafi uzingatiwe, 'sanitizer' kila sehemu za maeneo hayo.

Hakuna sababu tena ya kufanya 'lockdown' mahali popote, kwa sababu manufaa ya hiyo ishapitwa na wakati. Ugonjwa ushasambazwa kila sehemu nchi nzima.

La mhimu sasa ni kutumia kila linalowezekana huko huko, kuzuia kusambaa maambukizi ya ziada.
 
Kuna kitu mnakumbuka mimi kama kada wa Chama nilishauri.Nadhani hii ndiyo itatusaidia kwa sasa.
 
WHO Sets 6 Conditions For Ending A Coronavirus Lockdown

April 15, 20209:24 AM ET
BILL CHAPPELL
Twitter


Countries under coronavirus lockdowns should only ease those restrictions if they can control new infections and trace contacts, the World Health Organization says. Here, Hashim, a health care worker, recently greeted his daughter through a glass door as they maintained social distance due to the COVID-19 outbreak in New Rochelle, N.Y.
Joy Malone/Reuters
For the billions of people now living under some form of stay-at-home or lockdown orders, experts from the World Health Organization have new guidance: We should be ready to "change our behaviors for the foreseeable future," they say, as the agency updates its advice on when to lift COVID-19 lockdown orders.
The question of when to ease shutdowns is a hot topic, as economic output is stalled in many countries — including the U.S., now the epicenter of the global pandemic.
"One of the main things we've learned in the past months about COVID-19 is that the faster all cases are found, tested, isolated & care for, the harder we make it for the virus to spread," said WHO Direct0r-General Tedros Adhanom Ghebreyesus via Twitter as the guideline was released. "This principle will save lives & mitigate the economic impact of the pandemic."
The coronavirus has killed tens of thousands of people. It has also reshaped society and disrupted daily life for people around the world – including 1.4 billion children whose educations are now derailed by shutdowns, WHO says. The pandemic has triggered massive losses for big companies and small businesses, and forced millions of people out of work.
 
://www.npr.org › 2020/04/15

WHO Sets 6 Conditions For Ending A Coronavirus Lockdown - NPR

siku 5 zilizopita · The easing of shutdowns is a hot topic, as economic output is now stalled in many countries – including the U.S. But ...



Locking down with conditions - The News
26 Mac 2020 · Can Pakistan's economic managers arrange all the financial resources required for the lockdown without ...


Why lockdowns can halt the spread of COVID-19 | World Economic Forum
21 Mac 2020 · The whole of Italy is now in lockdown to battle COVID-19 ... to result in a reduction in critical care requirements from a ...


Lockdown impact on economy and market: How will India ... - The Economic Times
25 Mac 2020 · ... will India lockdown play out for economy & markets: 4 scenarios. Shutterstock.com. In a rosy situation ...

https://m.economictimes.com › ...
View: Post lockdown, expect fiscal discipline ... - The Economic Times

30 Mac 2020 · Once the situation of pandemic is brought under control which could take a quarter or two, there can be ...


Italy Locks Down Much of the Country's North Over the Coronavirus - The New ...
7 Mac 2020 · The restrictions affect Milan and the regions that serve as Italy's economic engine, and are the most ...


Lockdown impact on economy and market: How will India ... - The Economic Times
25 Mac 2020 · Lock-down-1--- shutter In a rosy situation, the virus will be contained in India, and the shutdown would not ...


India COVID-19 lockdown means no food or work for rural poor | News | Al Jazeera
2 Apr 2020 · ... as economic activity grinds to a halt due to lockdown. ... But for India's 40 million migrant workers it was a do-or-die situation to seek the safety of home.


Coronavirus: why lockdown may cost young lives over time - The Conversation
26 Mac 2020 · Coronavirus: why lockdown may cost young lives over time ... greatest risk, alongside those with underlying health conditions. ... Economy and death rates .


When will the lockdown really end? | Article | ING Think
Pre-conditions for an end to the lockdown · Pre-conditions for an end to the lockdown. In some ...
 
Situation tuliyo nayo ni ngumu kuliko hata wakati wa vita ya Kagera, ni mgumu kuliko hata harakati za kudai uhuru, WAKATI HUU TULIO NAO NI TISHIO LA, UWEPO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WATU WAKE
Sikubaliani kabisa na dhana hii.

Sijui kuna sababu zipi zilizokufanya uyaweke haya hapa.

Ninachoona ni kutia watu woga.

Hata milioni moja ikiteketea (jambo ambalo sioni likitokea, Tanzania itaendelea kuwepo na watakaobaki wataendelea kuijenga Tanzania yenye nguvu zaidi.

Hapa 'hype' imekuchukua mzimamzima na kutaka kushirikisha wengine kwenye jambo lisilowezekana.

Japan alidondoshewa bomu la nuklia, katoka humo na kuota kama uyoga.

Kuwa na 'sense of propotionality' unapoandika juu ya maswala kama haya. Vinginevyo yanaonyesha mada iwe dhaifu.

'Spanish Flu', haikuwamaliza Marekani wakati ule, leo coronavirus ndio ije kuwamaliza waTanzania?

Hatari ya coronavirus imekwishaoneshwa sehemu mbalimbali duniani. Hana uwezo wa kuangamiza taifa lolote.

Napenda nieleweke, sitetei uzembe na kukosa sifa za uongozi zilizoonyeshwa na watawala hawa, lakini hapa hakuna 'amagedon' kwa Tanzania.
 
Umepoteza muda wako bure, viongozi wa Africa hawa utamaduni huo, ukifa sawa ukipona sawa
 
ungemshauri anwage minoti kwa hizo familia zitakazo kaa ndani ningekuona una akili.
watu wakae ndani watapata wapi hela ya kununulia hayo mahitaji hata kama magenge na maduka hayajafungwa?.
Kwa muda wa siku 21 au kwa muda usiojulikanaa.?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Ni maoni yangu kuwa katika kipindi hiki kigumu tunapopambana na janga la COVID-19, EWURA na Mamlaka zinazohusika na usambazaji maji mijini na vijijini wapunguze bei ya maji kwa unit ikiwa ni mchango wao kwa jamii (Social Responsibility) katika kipindi hiki kigumu ambapo maji yanahitajika na yanatumika sana kama moja ya hatua za kujikinga na janga hili.

Kadhalika maeneo ambayo kwa kiasi kikubwa bado hayana maji Mamlaka za Serikali za Mitaa watumie malori yenye matanki kuwasambazia maji Wana wa nchi katika maeneo hayo.

Tuoshe mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara kuepusha maambukizi ya virusi vya Corona.
 
Mkuu sio maji tu umeme na chakula pia serikali iangalie kwa umakini.
 
Mkuu sio maji tu umeme na chakula pia serikali iangalie kwa umakini

Hivi wangeruhusu umeme wa bure hata hayo maji yangekuwa bure.

Zile bilioni zinazoenda katika elimu kila mwezi wangetoa ili zigharamie umeme na maji.
 
Fighting the Invisible Enemy:An Assessment of the Impact of COVID-19 on the Economy

Mpendwa mhojiwa, Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kinafanya utafiti juu ya kupambana na adui asiyeonekana: Tathmini za athari za janga la ugonjwa wa Corona (COVID-19) katika uchumi. Kama mshirika muhimu katika uchumi wetu, tusaidie kwa wema kujaza dodoso kwa utambuzi wa athari kwenye shirika lako, biashara au sekta(tasnia) yako. Asante! Fuata kiunga hiki kujaza dodoso

Kupambana na Adui Asiyeonekana:Tathmini za Athari za Janga la Ugonjwa wa Corona (COVID-19) Katika Uchumi
 
Wakati Mwenzetu ukisubiri Chuo cha IFM kikufanyie Tafiti na kije na Findings zake tayari kuanzia WHO, WB, IMF na FAO wameshakuja na zao ambapo wameshasema kuwa kuanzia sasa mpaka pale Janga hili la CORONA litakapodhibitiwa basi Watu Milioni 500 duniani watakuwa ni Masikini wa Kutupwa lakini pia Ajira nyingi zitakosekana, Njaa itakuwa maradufu lakini hata Viwango vya Uhalifu na Madhila ulimwenguni vitaongezeka.
 
Ooo nasisi ngoja tujikusanye tufanye tafiti yetu.
 
Haihitaji hata PhD, simply tu huku mitaani kwetu kila ukipita kila mtu analilia upande wake, si wajasiliamali wala wanunuzi.
 
Reactions: amu
Ooo nasisi ngoja tujikusanye tufanye tafiti yetu.

Tafiti nyingi za Vyuo vyetu vingi zimekaa Kiswahili Swahili Ndugu na sikushauri pia uziamini kivile. Waafrika tunajuana Ndugu.
 

“Watu milioni 500 watakuwa maskini wa kutupwa”.

Kwani kabla ya korona takwimu za umaskini zikoje.?
 
Reactions: amu
Mask ambazo zipo indicative to fight against virus na yenyewe ni 95% not 100 ni N95 the rest it's rubbish.

Wakati km huu tungetakiwa kuwa kwenye State of emergency and responsible authorities ndiyo zingekuwa in charge sema wajuzi wa mambo ni wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…