The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
N95 masks zipo sokoni au ?Mask ambazo zipo indicative to fight against virus na yenyewe ni 95% not 100 ni N95 the rest it's rubbish.
Wakati km huu tungetakiwa kuwa kwenye State of emergency and responsible authorities ndiyo zingekuwa in charge sema wajuzi wa mambo ni wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uhuni unaoufanya hapa jamii forum ntampigia simu Ummy Mwalimu au Waziri mkuu na kukuripot kuwa una Korona virus na unataka kuja kuisambaza hapa jamii forum..watu kama nyie corona iwaondoe tu, kama kujenga hoja tu huwezi
Hongera kwa kufikia hapo ulipofikiaNimezichanga weee nina kama m 9,kiwanja ninacho na tofali ninazo sasa najiuliza weee majibu sipati. Janga la corona linanichanganya,niko mkoa wa Njombe.
Usiyape nafasi mawazo hasi,Najiuliza kama corona ikaendelea kwa muda mrefu serikali ikayumba kiuchumi watumishi tukapata lidandasi (kuachishwa kazi)
Anza sasa kujenga.hela hiyo nikawa nimeshapeleka kwenye ujenzi yote hii familia nitaiendesha vipi?
Nianze ujenzi au nisubiri corona ipite?
Nashukuru kwa ushauri.Hongera kwa kufikia hapo ulipofikia
Kiasi hicho ni kikubwa sana
Angalia hii thread na mchanganua wa milioni 7, Utakutia moyo.
Ingia hapa: Nmejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu - JamiiForums
Usiyape nafasi mawazo hasi,
Anza sasa kujenga.
Kumbuka fedha huwa haikai, chukua hatua sasa.
Asante sana mwamba. Nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwako.Anza ujenzi achana na corona wala risks zozote zilizoko mbele yako. Kuna vitu lazima uvifanye no matter Maisha yatakuwaje mfano elimu, ndoa na kuanzisha familia na ujenzi wa nyumba. Hayo mambo hayana excuse huwezi kusema sisomi kwa kuwa kuna UKIMWI au COVID -19 au huwezi kuhairisha kuoa sababu ya COVID 19.
Kwanza umekosea sana kanuni ya ujenzi maana hiyo hela uliyonayo umeifuga bure wakati sasa hivi ungekuwa na boma linasubiri kupauliwa usiku watoto wanapigana miti.
Usisubiri hela iwe nyingi ndio ujenge. Unaweza kuanza hata na laki moja au pungufu na ukapiga hatua
Hongera baba mwenye mjengo mtarajiwa
Sidhani kama watazidi wanne. Nikifuatilia social distance kutakua na ubaya?Hongera kwa hatua uliyofikia, hata kama ni kuendelea na jengo wewe ukiwa mfanyakazi wa sekta ya afya huoni kuwa utaweka mkusanyiko usio wa muhimu kwenye jengo lakini (nikimaanisha mafundi)
Harakati za kununua vifaa na kusimamia jengo kwa sasa ni shughuli zinazoweza kusubiri.
Asante mkuuNi hivi ndugu unajua kuna kasumba hadi uwe na mamilioni ndo uweze jenga...hapana ndugu anza sasa maana hili jambo la corona sio la kuisha leo wala kesho imagine ukimwi ulivyoingia watu wangesema wasubiri iishe...kikubwa jitahidi kufanya reserch upate gharama angalau ya kila hatua...kuanzia msingi,boma,mbao bati etc..wewe ushakua na familia unahitaji kuwaweka wanao kwao....nikuaminishe inawezekena nami nipo kwangu na maamuzi magumu nilifanya mwezi wa 10 baada ya miezi mi3 mwezi wa 1 niliweza hamia...ujenzi wa Mtanzania sio wa kuchukua siku moja.
Nashukuru kwa kunitia moyoJenga ukipata lidandasi utauza nyumba mara mbili ya bei.
Ukimaliza ujenzi utupe mrejeshoAsante sana mwamba. Nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwako.
Huu ni ushauri bora kwa maoni yangu.Jenga. Ukipata lidandasi utauza nyumba mara mbili ya bei.
Nitafanya kama ulivyosemaUkimaliza ujenzi utupe mrejesho
Ila uchore Ramani za kisasa madirisha makubwa hewa ya kutosha na pia nyumba iwe ndefu sio mgeni amesimama anajinyoosha anagusa gypsum. Pia kila chumba kiwe self contained ndio tunavyojenga mjini. Sebule na jiko view na nafasi ya kutoshaNawashukuru sana. Kwa replies hizi chache nimeshatambua nilikuwa nawaza tofauti. Ngoja nianze mapambano,nitareta mrejesho.