Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Mkuu soma tena maelezo yangu. Mwili wangu upate heshima za mwisho. Hio si desturi yetu?Ukishakufa unajuaje issue za heshima ya mwisho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu soma tena maelezo yangu. Mwili wangu upate heshima za mwisho. Hio si desturi yetu?Ukishakufa unajuaje issue za heshima ya mwisho?
Kwa sasa maamvukizi imeenea.Nahisi sababu ni kuzuia maambukizi
Hiyo ni wish yako,je itatekelezwa?hauna ujanja wakati huo.Yah!naelewa lakini ni vema mwili wangu ukapata heshima za mwisho mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hapo sasa.. Hakuna faida yeyote!kwani maiti akizikwa kifahari anapata faida gani
Ni kweli hazimsaidii chochote yeye keshajiondokea, ila ni ile kiubinadamu tu nduguzo hamna kukuona hata kwa mara mwisho wala kukusogelea, utupwe tu huko kaburini😪Ukifa umekufa tu, hizo heshima za mwisho zinamsaidia nini marehemu?
Yah!naelewa lakini ni vema mwili wangu ukapata heshima za mwisho mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatutisha na mashairi yako haya!!?Mwili hauna heshima as long as utaenda kuoza ardhini. Na mara ukifa tu, ni katika kipindi kichache sana unasahaulika mpaka na watoto wako: it is the truth take it easy!
If you knew how dead people feel, you would have wished to die now now. It is our ignorance that hinder the truth.
Imagine the day of your death, just keep imagining, keep imagine,.....
now they are taking you for the burial..... imagine you, it is your last chance to live on earth, you will never come back man.
you will rotten on earth, you will become warms food, the worms will eat the flesh of yours to the bones, you remain skeletons, skeleton decays, woow!
How do you feel man? Everything that you thought you are (were) have been decayed and rotten to the bones;
THEN WHO Are you ?
What is you ? What are you really doing here on earth? Forget about the fantasy that you have come to worshiping; NO THAT IS NOT man!
That is what they are telling you, because their forefathers told them so! But the truth is, think about your self using your own mind,
what are you doing here on this planet.?
And then, death is the truth to bring you to where you come from, the place of infinity where everything is as good as ...... think!
You are such a wonderful creature; knowing that you will die; is a blessing that differentiates us from animals.
Animals just die: but we humans hold the thoughts of death from the very beginning of our childhood......... such a blessing.... woow
Nothing is as good as death,
Better live your life; be you !
Mk54
Ndugu hufarijika jinsi walivyomsitiri jamaa yao.kwani maiti akizikwa kifahari anapata faida gani
Habarini za jioni?
Tuendelee kufata taratibu sahihi zilizowekwa na wizara ya afya.
Kiukweli kifo cha corona ni cha dhihaka kabisa.Kama utakufa na corona (sikuombei)basi jua ni kifo cha ovyo sana.
Maiti yako itatengwa kama mdudu na hutapata heshima zote.
Ndugu zako hawatapata nafasi ya kutoa heshima za mwisho wala kukuona tena.
Inawezekana usiswaliwe udumbukizwe shimoni kama mzoga na kufukiwa.
Siku za nyuma kidogo niliangalia kipande cha video jinsi Itali watu wanavyomwagwa kwenye shimo dah!inasikitisha.
Pia nimeona kipande cha video huko twitter kikionyesha maiti ya mtu aliefariki na corona wakidai ni mwananyamala. aisee ni hatari kwa kweli.nimeweka link
Aisee Mungu atujalie mwisho mwema na
tuendelee kuchukua hatua sahihi kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Mkuu unatutisha na mashairi yako haya!!?
Kwa sasa nafikiri ni maiti zote haziruhusiwi kuzikwa na watu zaidi ya 10 sababu ya maambikizi...
Naomba nikosolewe kama siko sahihi!!
maiti inahusikajeNdugu hufarijika jinsi walivyomsitiri jamaa yao.
Kinyume chake hupelekea msongo wa mawazo kwa watu muhimu.