Huyu Mkenya ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu CORONAVirus na mbinu/mikakati mbalimbali inayochukuliwa duniani. Msikilize kwa umakini.Salaam Wakuu,
Kutokana na huu Ugonjwa hatari duniani wa Corona, tunaamini kila mmoja ana Mchango wake wa kupambana kuhakikisha huu ugonjwa unatokomezwa. Hivyo tuisaidie Jamii yetu na Serikali
Hii thread iwe Maalum kwa Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19.
Karibuni.
Kwa habari zaidi. soma:
Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga - JamiiForums
Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums
Kwaiyo hawa vinongozi wasipoongea wewe na utu uzima wako unasahau kuwa Corona ipo na inaua mbona haya ni maajabu kwa kweli ina maana sisi mi wewe hatuwezi kujiongoza mpaka ushikiwe fimbo mzee?Ni vema waziri Ummy Mwalimu akawa anatupa up dates za Corona kila siku au kila baada ya saa 24 ili kuyafanya mapambano kuwa hai.
Kadhalika kwa jiji la Dsm RC Makonda angeweka utaratibu madhubuti wa kufuatilia maagizo yote aliyoyatoa ys kudhibiti Covid 19.
Leo nimepanda daladala kutoka Posta hadi Makumbusho nusu ya abiria walikuwa hawajavaa barakoa akiwemo na kondakta.
Viongozi wetu fuatilieni haya mambo kwa karibu, Corona ni janga hatari.
Ramadan kareem!
Maendeleo hayana vyama!
Unataka kutisha watu? Kwa nn waongelee?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni Kweli MkuuNi vema waziri Ummy Mwalimu akawa anatupa up dates za Corona kila siku au kila baada ya saa 24 ili kuyafanya mapambano kuwa hai.
Kadhalika kwa jiji la Dsm RC Makonda angeweka utaratibu madhubuti wa kufuatilia maagizo yote aliyoyatoa ys kudhibiti Covid 19.
Leo nimepanda daladala kutoka Posta hadi Makumbusho nusu ya abiria walikuwa hawajavaa barakoa akiwemo na kondakta.
Viongozi wetu fuatilieni haya mambo kwa karibu, Corona ni janga hatari.
Ramadan kareem!
Maendeleo hayana vyama!
Watu tumetofautiana sana bwashee...... ndio maana hata Marekani wanataka kufunguliwa wakati wanakufa kila siku!Kwaiyo hawa vinongozi wasipoongea wewe na utu uzima wako unasahau kuwa Corona ipo na inaua mbona haya ni maajabu kwa kweli ina maana sisi mi wewe hatuwezi kujiongoza mpaka ushikiwe fimbo mzee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri hawezi kuja kukunawisha mikono kwa sabuni na maji tiririka tutakufa kwa uzembe wetuNi vema waziri Ummy Mwalimu akawa anatupa up dates za Corona kila siku au kila baada ya saa 24 ili kuyafanya mapambano kuwa hai.