Mbona hii hapa ni tofauti na heading?Utulivu wa mawazo kwa Viongozi wetu wakati wa majanga ni muhimu sana.
Hili ndilo la kufanyia maombi kwanza kabla ya yote!
Tuwaombee viongozi wetu wapate mawazo mema na ya utulivu kutuepusha katika majanga.
Kwa elimu gani mliotupatia???? Pia mbali na Hivyo c Kila mtu anaambiwa kwa tamko moja... Kwan nchi nyingine waliomamua kuweka ulinz juu ya hilo ni wajinga???JILINDE UMLINDE JIRANI bila kusubiri amri au/na kusimamiwa na mamlaka.
Je, hizo nchi zimeweza kudhibiti janga hili?Kwa elimu gani mliotupatia???? Pia mbali na Hivyo c Kila mtu anaambiwa kwa tamko moja... Kwan nchi nyingine waliomamua kuweka ulinz juu ya hilo ni wajinga???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa elimu gani mliotupatia???? Pia mbali na Hivyo c Kila mtu anaambiwa kwa tamko moja... Kwan nchi nyingine waliomamua kuweka ulinz juu ya hilo ni wajinga???
Sent using Jamii Forums mobile app