#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Kuna chama walikuwa wanataka lockdown ili mambo yavurugike wapate agenda sijui Kama wataweza
 
Kwa kuangalia hali ya Corona ilivyo napendekeza serikali ichukue hatua zifuatazo:
  • Itoe muda wa ziada wa ulipaji mikopo yote ambayo ni zaidi ya 5 Milioni kwa kipindi cha miezi mitatu kwa kulipa prinicipa tu bila interest yaani watu walipe mikopo tu bila riba
  • Ifute kodi zote katika miamala ya simu(money transfer via mobile kwa kipindi cha miezi 6)
  • Iondoe kodi katia mishahara,payrol tax katika kipindi cha miezi minne
  • Isitishe inter regional travel isipokuwa kwa kibali maalum na baada ya kipimo
  • Isitishe mikusanyiko yote isiyokuwa ya lazima ikiwamo sherehe,clubs,bars etc
  • Iweke stimulus package kwa ajili ya uzalishaji wa kilimo/chakula. Baada ya Covid 19 kutakuwa na uhaba mkubwa wa chakula duniani na food export itakuwa dili.
 
Utulivu wa mawazo kwa Viongozi wetu wakati wa majanga ni muhimu sana.
Hili ndilo la kufanyia maombi kwanza kabla ya yote!
Tuwaombee viongozi wetu wapate mawazo mema na ya utulivu kutuepusha katika majanga.
 
Utulivu wa mawazo kwa Viongozi wetu wakati wa majanga ni muhimu sana.
Hili ndilo la kufanyia maombi kwanza kabla ya yote!
Tuwaombee viongozi wetu wapate mawazo mema na ya utulivu kutuepusha katika majanga.
Mbona hii hapa ni tofauti na heading?
Akipata corona anatibiwa, kama Boris, ikishindikana basi maisha yetu yako pre-determined!
 
Mmesha jiuliza kwa nini.toka pilato hautubie watangaza Visa wame potea gafra ..[emoji41]
 
Sikuizi hakuna tena corona nahisi watakuwa wamepona wote pongezi kwa serikali ya awamu ya 5
 
Kwa elimu gani mliotupatia???? Pia mbali na Hivyo c Kila mtu anaambiwa kwa tamko moja... Kwan nchi nyingine waliomamua kuweka ulinz juu ya hilo ni wajinga???

Sent using Jamii Forums mobile app
Je, hizo nchi zimeweza kudhibiti janga hili?

Serikali imetoa maelekezo na wajibu wa kila mtu kuzingatia. Hata ikiamriwa "lockdown" katika hali ya fikra kama zako, bure tu maambukizi yataendelea na watu watakufa kwa hofu, hasira na njaa.
 
Kwa elimu gani mliotupatia???? Pia mbali na Hivyo c Kila mtu anaambiwa kwa tamko moja... Kwan nchi nyingine waliomamua kuweka ulinz juu ya hilo ni wajinga???

Sent using Jamii Forums mobile app

Nchi hizo ni wajinga kwa sababu pamoja na uwezo walio nao, ikiwa ni pamoja na kuweka ulinzi, gonjwa linaendelea kuwachachafya.
 
Niaje wadau? kwani mitazamo yenu au mtazamo wako korona inategemea kuisha lini? na uchumi kurejea tena utachukua muda gani? ndege zianze kuruka tena na kadhalika. hebu nipe mtazamo wako.
 
Ngoja nirudi kwenye maandiko ya Rockaffeller and the Rome Club ambao2010 - 2014 walitabiri uwepo wa huu ugonjwa nione wanasemaje...then I will be back
 
Back
Top Bottom