tujadili:

hakuna ubishi kwamba dar es salaam ni mji ulioathiriwa na kirusi cha corona kuliko miji yote ya jamhuri.

kwa sisi wakazi wa dar es salaam inabidi sasa tupeane tahadhari juu ya maeneo au vitongoji vilivyoathirika zaidi ili kuchukua tahadhari na hasa ikibidi tuzishinikize mamlaka ziviweke kwenye lockdown. mfano kama kitongoji A kinaonekana kina waathirika wengi kitangazwe na watu wake wawekwe lockdown wiki 2 wanunue na kuuza ndani ya kitongoji chao tu wasiende vitongoji vingine na wala isiruhusiwe watu wa kutoka maeneo mengine kuenda kwenye kitongoji hicho.

tuanze kuvitaja.

huku niliko kitongoji changu kina ZERO cases 🙏🏽
 
Niliona case kama hii China. Familia ziliambukizwa kupitia AC.But how ?
Baridi inafanya virus awe active kwa mda mrefu.

Na pia wanakua active kwa karibia siku 30 ndani ya friji. Ndio maana wanashauri tusafishe vitu kabla ya kuweka kwenye friji.
 
Nadhani wanapozikwa watu wengi ndio kitongoji husika kimfano sidhani kama mtu wa chanika anaweza kuzikwa ununio au kisutu nadhani. Makaburi ni ishara tosha kwako mwananchi

Chukua tahadhari covid-19 babalao

Sent using myLG leon
 
Kwenu wamekufa wangapi kwa maambukizi yaliyosababishwa na maombi ya rais Magufuli??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kwa sababu anawageuka na kuwapa lawama wametulia na kukaa pembeni na kusubiri atakapotoa neno ndio wanaenda kulifanyia kazi na kunyamaza tena. Kweli watu wamechoka kuburuzwa kama punda kisha kutolewa kafara. unaambiwa kila idara imeganyika vipande vipande hawajui wafanye lipi waache lipi.so solution wanaona ni kususa tu.
 

Hivi Kama baba nyumbani hutaki kusikiliza ushauri wa mkeo na watoto, kila wanachosema au kushauri wewe ni kuwatukama na kuwapuuza...KWANINI WASIKUSUSIE?
Jiwe ameyataka menyewe!This time around CORONA inakwenda kuumbua mtu! This is not MAKINIKIA my friend!
 
Kwani likizo yake ya "PASAKA" haijafikia mwisho tu????[emoji848][emoji2955]

Maana anatuambia tufanye kazi, uchumi usiyumbe ila cha ajabu yeye kajifungia kijijini kwao. Tunamlipa mshahara kutoka kwenye kodi zetu walala hoi.... Si arudi kazini dodoma au dar akapige na yeye kazi hata za kupambana na hili janga, ili uwe mfano kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…