#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Tatizo wenye taaluma wamezidiwa nguvu na wanasiasa.
Kwa vile tuna tatizo ambalo linatukabiri na pia wataalamu walio na ujuzi wa kuwaelimisha Wananchi kuhusu nini cha kufanya wakati huu, ni vyema wasiohusika na taaluma hiyo wawaachie wahusika waelimishe Wananchi nini cha kufanya. Wanasiasa wao kila kitu wanajua. Matokeo yake tunayaona kwenye kila nyanja, si elimu, afya, uchumi, mawasiliano, you name it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BASHITE anataka cheap millage kwenye siasa, ni mzee wa kick. Anatumia matukio keundesha maisha yake ya kisiasa badala ya kutumia akili, nadhani huenda kwasababu hanazo
 
Tatizo la wanasiasa wa Tz wanaegoism kinoumer, hawajai kushindwa kitu kila jambo wao wanalijua. Hawataki kuwapa nafasi wenye Taalamu zao kusema neno juu ya Ugonjwa huu na hapo ndipo tunapo fail. Kinachokuja mbele yetu ni massacre.
 
Kulaumu ni rahisi sana
Nchi kubwa na tajiri kama USA,ufaransa na Italy zimechemka,unaelekeza Tanzania nini cha kufanya!
 
What if the Corona virus incident is an Allien invasion? That the Alliens have invaded the planet Earth aiming at wiping out all the humans in a bid to take over our planet?

Kwamba kwa sababu Hawa Alliens wameendelea Sana kiteknolojia kuliko Sisi so wamekuja duniani in an invisible form. Wamejibadilisha na kuchukua maumbo ya virus wadogo Sana wasio onekana na Sasa Wana washambulia binadamu.
 
Mmmhh
Good Point lakini nobody Confirmed Aliens Mpaka Sasa [emoji1745][emoji1745]. Pia kusema kwamba wamekuja in invisible form yani Viruses that impossible, Kama Wako So bad in technology si wangetuma tuu Viruses in anyhow they can. Kwqnini warisk maisha yao kuja dunian as viruses
 
May be they want to do the job themselves.
 
Nitasema kwa kifupi tu.

Tumezoea kuona matatizo ya uchumi yakiondoa au kuangusha serikali nyingi dunia kama sio kuzitia msukosuko.

Naomba kutabiri kuwa corona itakwenda kugharimu watawala wengi wanaoshindwa kuchukua hatua sahihi wakati huu na kupelekea hali kuwa mbaya katika nchi zao kuliko ambavyo uchumi umekuwa ukigharimu watawala na vyama vyao duniani.

Pia,watawala wanaolaumiwa sasa na wananchi wao kwa kuwafungia ndani, ndio ambao kesho watakuja kuibuka washindi na kupongezwa sana na wananchi wao ambao leo hii wanawalaumu.

Trump ni mmoja wa watawala ambae corona inaweza kuja kumgharimu licha ya kuunga mkono maandamano ya kupinga lockdown na ni wamereakani hawa hawa wanaondamana leo hii ndio ambao kesho watakuja kumlaumu na watawakumbuka magavana wanaopinga lockdown kuondolewa.

Kuchanganya corona na siasa ni kutengeneza time bomb.
 
Mpaka sasa binafsi hata viongozi wa dini wa Tz sina hamu nao kabisa,kwa kuchanganya siasa na afya zetu........Ngara pekee ndiyo kuna viongozi wale walitoa ile barua jana,ila hawa wanaosukumwa na upepo wa kisiasa,hapana nimewadharau sana na PHD zao
 
Kwani unalazimishwa kwenda kusali?, wewe na imani yako ndo vitakuokoa au kukuua, kumbuka arusha kuhusu maji ya upako, sijui baraka yalivyoua watu. Kwa hiyo tumia akiri yako.
 
Kama wewe unatumia akiri sawa,ila mimi natumia akili.......na mawazo yako ni finyu sana unaniwazia mimi badala ya kuwaza madhara ya kutochukua hatua za kudhibiti ugonjwa........tumia akili achana na akiri
 
Nonsense!

Back
Top Bottom