Mnywani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 774
- 898
Sijapata usingizi kabisa kutokana na ile hotuba. Nimesikitika sana.
Kipi kikusikitichacho×3
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijapata usingizi kabisa kutokana na ile hotuba. Nimesikitika sana.
Sijajua ni kwa nini...ila kuna watu huchukia tu watu wengine bila sababu
Aaminike nani hapo? Naibu waziri ambaye pia ni daktari au Rais maana ndiye kamteua huyo naibu waziri?Alisema mvuke unao Toka kwenye nyuzi joto Mia it means maji yalio chenshwa mpaka nyuzi joto Mia ule mosh Wake na mbona ni simple tu joto litakua Kali Ila hauto kudhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo hapo tutakwama kama hajajiandaa kuimarisha sekta ya afya kwa kuongeza nguvu jeshi ya watumishi wa afya wa kutosha maana waliopo ni wachache mnoWazo zuri lakini sidhani kama mzee wa kikombe anasikiliza mtu saa hizi amejichimbia kwao, anaamini katika social distancing lakini haruhusu ifanyike.
Speech ndugu
Nini kazi ya TBS??? Ina maana mzigo ukitoka nje haupimwi ubora kabla ya matumizi?Hotuba ilikuwa nzuri ila ukiwa na chuki huwezi kumuelewa raisi kwa sababu ya chuki tulizonazo,kuhusu barakoa zinazotoka nje kuwa na virus,si Tanzania tu..hilo hata mataifa ya nje yamewahi kulalamika hadi kufikia hatua ya kuamua kujitengenezea vifaa vyao binafsi...sisi tutakufa kutokana na chuki yetu kwa raisi na serikali kwa ujumla...binafsi siwezi napinga ufanyanyi wa test na kutumia barakoa kutoka nje,yaani ni mara kumi niende kwa fundi juma anishonee ya kitenge
Ila anaiamini njia hii !RAIS ANA MASHAKA NA BARAKOA, ANA MASHAKA NA UPULIZIAJI WA DAWA, YANA KWA UJUMLA ANA MASHAKA NA MBINU ZA SERIKALI ZA KUPAMBANA NA CORONA
huwa mnawaza kwa kutumia makalio nini mdudu wa corona anauwezo wa kukaa kwenye chuma na plastic hadi siku 2...msilete ujuaji kwenye mambo ya kitaalam Does disinfecting surfaces really prevent the spread of coronavirus?Hiyo ya mashine ya kupulizia ni ujinga, sababu ukipata corona inakaa ndani ya mwili wako yaani kwenye mapafu ukipumua ndio mwingine ana pata, sasa unapulizia ili iwe nini?. ni ujinga mkubwa sana.
Alisema mvuke unao Toka kwenye nyuzi joto Mia it means maji yalio chenshwa mpaka nyuzi joto Mia ule mosh Wake na mbona ni simple tu joto litakua Kali Ila hauto kudhuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Unganisha hotuba yake na kuchomwa, kwa ghala la vifaa tiba kule Temeke.. Kuna kitu kinaendelea sio bure
Amua moja umsikilize mwanasiasa au mtaalamuDuuh,wanatuchanganya sana!
Aisee!Unganisha hotuba yake na kuchomwa, kwa ghala la vifaa tiba kule Temeke.. Kuna kitu kinaendelea sio bure
Hii ndio hoja ya maana.Mie nauliza tu,Mkurugenzi wa TBS na TFDA wametumbuliwa? Hizo mask tunazinunua kwenye maduka yaliyo ndani ya Tanzania
duh..aiiseeeUnganisha hotuba yake na kuchomwa, kwa ghala la vifaa tiba kule Temeke.. Kuna kitu kinaendelea sio bure
😂 😂 😂 😂 😂 😂Unganisha hotuba yake na kuchomwa, kwa ghala la vifaa tiba kule Temeke.. Kuna kitu kinaendelea sio bure