#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Papi Chulo, Unajua ni uzembe wa hali ya juu kiongozi mkuu kutuhumu bila kuchukua hatua haraka?

Kuna amri ya kuvaa barakoa ukiingia ofisi za umma, mabenki na sehemu mbalimbali. Sasa kwa vile yeye ndio anavyombo vyote vya uchunguzi kwa nini asiseme MARUFUKU BARAKOA ZA NJE tuu basi ili uchunguzi uendelee?

Kunyamaza kwake wangapi wanapotea wakitumia huku wakisubiri huo uchunguzi?
Halafu acha tabia ya kudhani kukosoa utendaji ni kumchukia Rais na serikali! Hayo ni mawazo ya hovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisema mvuke unao Toka kwenye nyuzi joto Mia it means maji yalio chenshwa mpaka nyuzi joto Mia ule mosh Wake na mbona ni simple tu joto litakua Kali Ila hauto kudhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaminike nani hapo? Naibu waziri ambaye pia ni daktari au Rais maana ndiye kamteua huyo naibu waziri?
Screenshot_20200423-105231.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri lakini sidhani kama mzee wa kikombe anasikiliza mtu saa hizi amejichimbia kwao, anaamini katika social distancing lakini haruhusu ifanyike.
ndo hapo tutakwama kama hajajiandaa kuimarisha sekta ya afya kwa kuongeza nguvu jeshi ya watumishi wa afya wa kutosha maana waliopo ni wachache mno
 
Hotuba ilikuwa nzuri ila ukiwa na chuki huwezi kumuelewa raisi kwa sababu ya chuki tulizonazo,kuhusu barakoa zinazotoka nje kuwa na virus,si Tanzania tu..hilo hata mataifa ya nje yamewahi kulalamika hadi kufikia hatua ya kuamua kujitengenezea vifaa vyao binafsi...sisi tutakufa kutokana na chuki yetu kwa raisi na serikali kwa ujumla...binafsi siwezi napinga ufanyanyi wa test na kutumia barakoa kutoka nje,yaani ni mara kumi niende kwa fundi juma anishonee ya kitenge
Nini kazi ya TBS??? Ina maana mzigo ukitoka nje haupimwi ubora kabla ya matumizi?
Sio chuki mkuu ukweli upo wazi kama serikali imeshindwa kazi basi sio kuwaambia watu wavute mvuke [emoji35]
 
Chakaza, Umepindisha mada kiasi kikubwa mno kwa mtu ambaye hajasikiliza unaondoka naye jumla.

1. Hajasema tusivae ila ameweka angalizo kuwa lazima hata sisi tujiridhishe ubora wake. Tena amepongeza wale wanaotengeneza locally, labda kumuongezea hata hizo local zithibitishwa kufaa kwake

Amesema upuliziaji(fumigation) hakuuwi Corona virus. Usipinge haraka watu niwatafuta fursa na wapigaji, swali ni hili dawa zilizopulizwa zinaua virus?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom