#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Wameamua kufukiza na kutumia mwarobaini na vitunguu swaumu pia? Mh kumbe yuko sahihi.
Kuna watu huwa wanamdhihaki sana Mh kuhusu maamuzi yake. Lakini kinachoonekana ni kuwa Mh yupo so well informed.
Mfano ni huo hapo, India wameamua kuachana na test kits za China.
 
Nimeacha kwenda kanisani, siwezi kupokes mwili wa Bwana mikononi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Uongozi ni kitu kigumu sana.
Uongozi si elimu tu
Uongozi si experience tu
Uongozi uwezo wa charisma tu au bashasha.

Kwa kweli kama Magufuli livyowahi kusema , akimaliza muda wake " hataki kukaa kwnye maofisi haya"

Limetokea tatizo ambalo ni la kihistoria , gonjwa halina mipaka, halina dawa wala chanjo na hata nchi tajiri hazina uwezo wa kujizatiti barabara.
Siye tulio masikini tumebaki kumwomba Mola atunusuru waja wake.

Lakini tunaweza kutazama jinsi viongozi wa kidunia walivyo lishughulikia kwa ufupi.

Xi Ping wa China
Gonjwa limelipuka.
Kwanza hawakuliamini gonjwa la COVID19.
Madaktari walioonya juu yagonjwa watiwa korokoroni kuwa ni wachochezi.
Gonjwa laendelea kulipuka na kuenea
Xi Ping akashituka.
FUNGA mji ulioathiriwa, mtu asitoke ndani, wagonjwa kuingi akifungo cha karantini kwa lazima.
Aliye ndani ya nyumba asitoke wala kujionyesha hadharani.
Tatizo limeshughulikiwa with military precision na practice.
Vifo ni karibia 3,300.
Walioambukizwa ni 83,000.
Lakini kama kuzima moto kwa maji baridi, gonjwa likapungua sana.
Lockdown ni kama siku 70.

Angela Merkel na Ujerumani

Gonjwa lalipuka.
Mama Merkel , a physicist, mtoto wa Mchungaji, atumia utaalam wake wa kisyansi.
Aunda jopo la wana sayansi 26 toka madktari, wataalam wa afya jamii, psychologists.
Jopo la kushauri kwa haraka nia ya kuchukua kupingana na adui COVID19.
Waanchi wanapimwa , tena kwa wingi, Miji unaingia isolation na mambukizi yanakuwa controlled.
Merkel amekuwa mfano mzuri Ulaya kwa kuchukua hatua za kisaynsi.
Kulingana na population ya ujerumani vifo ni vichache sna. Hatua zilizo shauriwa na jopo la wataalam zimefanya kazi.

Kutkana na kushughulikia kisahihi tatizo la COVID19, approval rating ya Merkel yapanda hadi 80%.

Trump na Marekani
Taifa kubwa lenye nguvu kiuwezo, kifedha na hata kiutaalam.

Dalili za gonjwa zajitokeza.
Trumpa asema sisi halitatupata, ni gonjwa la Kichina huko Wyhan.
Ashauriwa na wataalam kuchukua hatua haraka, akataa asisitiza tuna uwezo wa kukabili chochote na gonjwa lenyewe haliwezi leta madhara Marekani.
Gonjwa linazidi kukua , hasa New York. Magavana(wakuu wa Mkoa ) wana panick na kuwaeleza wananchi wao na dunia kuwa watu wanapukutika, hali ni mbaya.
Trump anaamka toka usingizini, naye sasa anapanick.
Marekani wanagundua kuwa hawana vifaa tiba, kwa sura ya aibu wanaagiza vifaa vya kupumulia toka adui yao China, waliyembeza mapema.

Gonjwa laendelea kutesa kama moto wa nyika, vifo vinafikia zaidi ya mara 10 ya kule China(wiki hii vitafikia mara 20 ya vifo vya china)

Trump aumbuka , asiyesikia la mkuu ameanza kuvunjika guu.
Lawama anazitupia WHO(Shirika la Afya Duniani) na China tena ili kujiokoa kisiasa na kukwepa aibu.
Watu waliofariki mpaka sasa ni 47,000.
Walio ambukizwa zaidi ya laki nae, mara kumi ya China.

Magufuli na Tanzania
Nchi masikini sana.
Watalam wachache wameanza kulielezea, wengine walipuuza.
Waziri Ummy yuko on record akicheka wakati analiezea gonjwa , sijui tutafanya nini masikini siye, anajua tu masikini mno..
Magufuli asema tusitishwe, tufanye kazi.
Ni dhahiri serikai haijajitayarisha kisaikolojia.
Wgonjwa wakti huo wako si zaidi ya 10, wengi ni "wakuja" toka majuu.
Gonjwa la sambaa serikali inaanza kusituka.
Mkuu wa nchi apelekwa mahali salama
Taaarifa za walioambukizwa hazitoshi maana upimaji ni hafifu.
Gonjwa lasambaa.
Mkuu wa Mkoa wa Dsm Jiji lililoathirika aid asema watu wapige kazi atakayefunga biashra atakiona.

Gonjwa lasambaa, watu waanza kufia majumbani, clips za wananchi arushwa mitandaoni, ukweli unanza kujiokeza athari za kuenea.
Mbunge mmoja atangazwa kuatirika.
Kiwewe sasa.
Mkuu wa mkoa pendwa DSM sasa naye amepanick, asema watu wanapukutika DSM.

Watanzaia tu masikini sana
Hatuna vifaa
Hatuna fedha za kupambana
Hatuna hospitali za kutosha
Hatuna wataakam wa kutosha
Twafwa!!!!

Hakuna njia tumrudie Mungu na tumlilie atuepushe na janga hili
Dawa nzuri ya roho na kisaikolojia kuwapa moyo wananchi.
TUSALI
Hatuna kingine cha kutegemea ila YESU
Watu tunapiga magoti, tunasaki
What else can we do?

Kwa kweli Mungu atunusuru.
Kulingana na nchi nyingine bado waathirika ni wachache waliotangazwa.
Maambukizi watu 284, na vifo 10, nwliopona 11 kulingana na wizara ya afya.

Wana JF tuzidi kuomba, na kuomba na kuomba Mungu atunusuru.
 
Ilo gonjwa lenu wa Tz uku chato halita fika tuna nchi yetu ndogo uku
the_originaleast-20200422-0001.jpg
 
Ulinganishe pia uwezo wa kifedha na kiteknolojia kati ya Uchina, Ujerumani, Marekani na Tanzania.
 
Merkel ndio kiduke ktk wote.
 
Ulinganishe pia uwezo wa kifedha na kiteknolojia kati ya Uchina, Ujerumani, Marekani na Tanzania.
/ndio uone Mungu alivyo wa ajabu!
Wale wenye uwezo kubwa zaidi, Marekani, ndio wanaoongoza kwa kuathirika.
Uwezo wao, utajiri, na utaalam hauja wasaidia sana.
 
Wale wenye uwezo kubwa zaidi, Marekani, ndio wanaoongoka kwa kuathirika.
Uwezo wao, utajiri, na utaalam hauja wasaidia sana.
Ungemuweka na Museveni hapa na Kagame
Wanafaa kuigwa Africa nzima kwa kucontrol COVID19 kiusmart, sie tuendelee kujifukiza na kuomba mungu.
 
Katika ugonjwa huu, hakuna garantee kwamba kila kitu kilichofanyika nchi moja kinaweza kufaa nchi nyingine na kufanikiwa. Hii ni vita yako peke yako na watu wako
 
Back
Top Bottom