#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Huhitaji kuwa na PHD kujua kama kujiuzulu pasipo na kosa humfikirisha sana boss wako. Je, mkiachia ngazi wawili au watatu hawezi jiuliza??

Kugawa vifaa vya kujikinga madakta utasema umezuiwa!
kutangaza cases utasema umezuiwa!
kucheka wakati unatangaza issue za kusikitisha utasema umeambiwa!

Je, kujiuzulu pia umezuiwa!
 
Jamii zinatofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine, asilimia 99% ya wagonjwa wa COVID-19 kwa Africa ni vijana wa mikoa kuania 15 mpaka 45. Tofauti na wenzetu wa Ulaya na Asia ambao ni 95% ni wazee kuanzia umri wa 65 mpaka 100. Matibabu yanaweza kuwa tofauti maana vijana wengi wanapona huu ugonjwa bila dawa au matibabu ya aina yoyote.
Hilo halijabadili sayansi hata kidogo, pamoja na kwamba halikuwa lengo la yaliyoandikwa hapo na wewe kuyaparamia tu bila kujua.
 
Mheshimiwa waziri, kwanini hadi sasa hakuna tamko linalowalazimisha wahudumu kwenye sehemu mbalimbali (migahawa, bar, hoteli, mama ntile, saloon nk) kuvaa barakoa?

Hawa watu watachangia sana kuambukiza corona. Hebu fikiria, wanahudumia watu wangapi kwa siku? Huwezi kumzuia asishike chupa yako au sahani yako ya wali.

Saa zote wanacheka na kuongea midomo iko wazi na mvua yakutosha. Mmeshindwa kuzuia hizi huduma, ziwekeeni sheria ndogondogo kutunusuru.
 
Ushaambiwa usiende huko bila sababu ya msingi, unapolazimika kwenda basi ujiridhishe na tahadhari zako zote... au la uamue mwenyewe kama utazika ama utasafirisha.

Kaa mbali wewe.
 
Boss kubwa kasema barakoa zinaweza kuchangia kuongeza corona...sana sana labda waweke sehemu maalum za kufukiza kabla hujapata huduma...sasa hivi kila mtu kaufyata wanatetea vibarua vyao
 
Ahahahaaa
Boss kubwa kasema barakoa zinaweza kuchangia kuongeza corona...sana sana labda waweke sehemu maalum za kufukiza kabla hujapata huduma...sasa hivi kila mtu kaufyata wanatetea vibarua vyao

The true revolution comes from inside yourself....!
 
Pita pita zangu Mitandaoni, unakutana wengi wanaosifia na wengi wanaokosoa. Kila mtu anatoa ushauri wake.

Sasa ikatokea wewe leo ukapewa Urais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Je utachukua hatua gani kukabiliana na Covid 19.

Angalizo:
Kumbuka kuna mawili. Kuokoa Uchumi au maisha ya Raia wa Tanzania.

Karibuni......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna wenye sifa sasa za kuwa Raisi hapa mkuu!!

Wengi Wao ni fuata upepo Tu, na nilivyogundua wengi Wao, wanaweza kuwa, lakini wakawa under Control Kwa sababu hawajiamini

Kila kitu watategemea mzungu kashauri nini ndio wafanye, vitu vingi vitafanyika vile ambavyo wazungu wamesema!!
 
Wewe unasifa za kuwa Rais. Kama unazo ungefanya nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna wenye sifa sasa za kuwa Raisi hapa mkuu!!

Wengi Wao ni fuata upepo Tu, na nilivyogundua wengi Wao, wanaweza kuwa, lakini wakawa under Control Kwa sababu hawajiamini

Kila kitu watategemea mzungu kashauri nini ndio wafanye, vitu vingi vitafanyika vile ambavyo wazungu wamesema!!
In Africa even idiots can be presidents!
 
Hizo barakoa magufuli kasema Zina corona.
Bado haukomi tu?.
Tangu zile barakoa za China zilizoletwa kwa msaada wa jack ma.
Namba Za wagonjwa wa corona zimepanda.
Mheshimiwa waziri, kwanini hadi sasa hakuna tamko linalowalazimisha wahudumu kwenye sehemu mbalimbali (migahawa, bar, hoteli, mama ntile, saloon nk) kuvaa barakoa?

Hawa watu watachangia sana kuambukiza corona. Hebu fikiria, wanahudumia watu wangapi kwa siku? Huwezi kumzuia asishike chupa yako au sahani yako ya wali.

Saa zote wanacheka na kuongea midomo iko wazi na mvua yakutosha. Mmeshindwa kuzuia hizi huduma, ziwekeeni sheria ndogondogo kutunusuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza , niliposikia tu corona inaanza kusambaa ningefunga mipaka , hakuna kutoka Wala kuingia

Then , ningehakikisha Nina akiba ya vifaa vya kutosha kwa ajili ya kupima na kuzuia corona

Lakin , kubwa Ni hiyo ya kwanza , ningesambaza majeshi yangu mipakani Hadi vichochoroni
 
Back
Top Bottom