Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Twende sasa
Wakuu amani iwe nanyi...ni muda sasa tangu janga hili la korona limegundilika nchini huku shughuri mbalimbali za kijamii zikizidi kutetereka. Sekta binafsi pamoja na zile za uma zimekumbwa na misuko misuko ya kiasi cha kutishia mstakabari wa uchumi wetu na usalama wa taifa kwa ujumla. Kutokana na mfadhaiko mkubwa tunaopitia mambo yafuatayo hayana budi kutekelezwa kwa ajili ya mstakabari wa taifa letu siku za usoni.
1. Utawala wa majimbo yenye mamlaka ya ndani.
Wote tutakubaliana kuwa tatizo hili la korona limetuacha watupu katika baadhi ya maamuzi hususani katika kuchukua hatua sitahiki za kujilinda na mlipuko huu. Maeneo yaliyo pembezoni ya nchi pamoja na maeneo yenye mwingiliano mkubwa wa watu kama Dar es salaam yalipaswa yawekewe hali ya dharura mapema kulinganisha na maeneo mangine ya nchi..hali hii ingewezekana iwapo tu utawala wa majimbo ungekuwepo kuwalinda wananchi wake bila kutegemea amri ya watu 3 tu ambao ni Rais, PM na waziri wa afya waamue mambo yote yahusuyo pandemic.
Lakini pia kulingana na mfumuko wa bidhaa mhimu kama sukari utawala wa majimbo ungekuwa mworobaini kwa maana kwamba bidhaa mhimu zingekuwa na msamaha wa kodi kutoka jimbo moja kwenda jingine... Bei ya sukari inakuwa chini Dar es salaam huku mikoa ya kanda ya Ziwa na Magharibi ikiwa juu why and how! Huwezi ukawa na rate sawa za kodi kwa watu wa Dar na wale wa mwanza na mikoa mingine iliyo mbali na port never.
2. Mfumo wa elimu utoke kwenye ujima uende kwenye mfumo mpya wa tehama watoto wa shule waruhusiwe kutumia vifaa vya mawaailiano kama simu na tablets. Leo serikali inasema o"oooh kwa sasa wanafunzi wanaweza kupakua vitabu na notes kupitia website ya wizara ya elimu" mwisho wa kunukuu..Haya ni maajabu mtakumbuka hivi majuzi tu watoto kidato cha sits walifukuzwa shule kisa kumiliki simu halafu leo wanawataka wapakue notes mtandaoni kwa kutumia kifaa kipi na kwa ujuzi UPI walionao.
3 mwisho serikali iiachie sekta binafsi ifanye Biashara yenyewe isimamie tu biashara hizo. Pesa za serikali zifanye kazi katika elimu, afya na ulinzi na kwa mbali sana katka miundombinu. Ovar