#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Ungeona wanachofanyiwa wagonjwa wa magonjwa mengine pindi wanapoenda kwenye mahospitali esp ikiwa ni serious case wala usingesema hivyo.

Tulienda Muhimbili wakatukataa, wakatu refer Temeke, nao wakatukataa, wakatu refer Kimara,

Mgonjwa akafia mlangoni mwa Hospitali Kimara.

Wapo wanaoongea kishabiki, lakini kwa tuliopoteza wapendwa wetu tuna machungu mengi na tuna machungu na wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeona wanachofanyiwa wagonjwa wa magonjwa mengine pindi wanapoenda kwenye mahospitali esp ikiwa ni serious case wala usingesema hivyo.

Tulienda Muhimbili wakatukataa, wakatu refer Temeke, nao wakatukataa, wakatu refer Kimara...
Poleni Sana , yaani muda huu ninkuomba usipatwe na majanga yoyote ya kiafya Mana chances za kupona ni kama hakuna.

Watumishi sekta ya afya hawana utu saa hii sababu wenyewe pia wanona wametolewa kafara,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeona wanachofanyiwa wagonjwa wa magonjwa mengine pindi wanapoenda kwenye mahospitali esp ikiwa ni serious case wala usingesema hivyo.

Tulienda Muhimbili wakatukataa, wakatu refer Temeke, nao wakatukataa, wakatu refer Kimara,

Mgonjwa akafia mlangoni mwa Hospitali Kimara...
Umeongea mkweli mtupu, nikiyaeleza ya tumbi hapa ndo mtaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaelekea watu tumeingiwa na hofu ya maambukizi ya COVID-19 kiasi tunaogopa kwenda hospitali kwa tiba ya magonjwa mengineyo, kuogopa kugundulika na maambukizi. Matokeo yake watu wa aina hii wanahatarisha maisha yao...
Kweni kuna aliye kufa we unamjua,acheni kutisha watu endeleeni na mambo mengine ya maisha yenu muondoe maneno

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Umeongea mkweli mtupu, nikiyaeleza ya tumbi hapa ndo mtaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu anakuja mtu mmoja anasema acheni woga.

Zamani tulijua kwenye ambulance wanawasha king'ora ili kukwepa foleni wawahi kwenda kucheza karata na draft, Lakini siku yakikukuta umelala mle wewe au mpendwa wako basi utayaheshimu yale magari!

Ipo siku, na wao watapoteza wapendwa wao ndio wataelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wetu alisema hayo wakati korona ikiingia na kuwahamasisha watu wafanye kazi bila uoga, waendelee na bunge bila uoga, na mmoja wao au zaidi wameambukizwa nayo.

Alisema hayo wakati wachina na wazungu Ulaya na Marekani, waarabu uarabuni na Afrika kaskazini wanakufa na Korona.

Baada ya kusema hayo muda si mrefu akakimbilia Chato kujificha na kutudharirishia alikimbia Dar na Dodoma baada ya kusema Dar kuna visa vingi zaidi na kujiuliza kwa nini wakati ni yeye alieacha mipaka wazi hasa kwa abiria toka nchi zenye Korona.

Hii imeonyesha Rais wetu ana fikra duni hasa baada ya kuweka uchumi mbele kabla ya Afya bila kujua bila wananchi wenye Afya hakuna uchumi. Rais we tu kaonyesha kuchanganyikiwa toka mwanzo aliposema eti Korona ni mafua tu na hayaui, hajui kuwa ugonjwa huu ni wa kupambana nao kama Ebola la sivyo unaweza kumaliza nchi nzima ikiwamo na yeye mwenyewe.

Nampongeza kwa ugunduzi wake wa ulakini wa mashine za kupima korona, ila sikubaliani na njia alizochukua za kuwasimamisha kazi wakuu wa maabara badala ya kuwataka kufanya uchunguzi kwa nini papai limekuwa na Korona.

Ingawaje anafanya uchunguzi, si sahihi kuhukumu kabla ya uchunguzi, kuwasimamisha kazi ina maana anaona wana itilafu na ulakini katika kazi yao, japokuwa ni yeye aliyefanya juhudi zote za kuwadanganya ni sampuli za watu, hivyo walipima hizo sampuli kama Rais alivyotaka.
 
Mambo ya nchi hii na uongozi wake hakika unaweza kuzeeka bila kuwa na umri mkubwa tena kuzeeka na kuchakaa
 
Wajue kujua waniemie sanitizer inakaa muda gani kabla kutumia tena?

Sasa hivi watu tupo gizani. Mwingine anafanya kama dozu ya vidonge X 3 kwa siku. Mwingine akipaka asuhuhi nu hadi kesho.

Ni effective kwa muda gani?
 
Sampuli ya mapafu ya muathirika wa COVID-19, yanayompelekea kupumua kwa tabu.
Screenshot_20200510-013404_Opera%20Mini.jpeg
 
Hii ni nchi ya Zambia ambayo tulipaswa kuwa mbele yao maili milioni 1 kwa umakini na usahihi. Hii serikali ya Rais Magufuli inakwama wapi? Mbona haiko serious? Dah inauma mtu unakaa na serikali hata haijifunzi pale inapoambiwa!

Ona wenzetu wanaelezea kwa usahihi na wanatoa tahadhari ya moja kwa moja. Serikali nawaomba jifunzeni mubadilike!
IMG_20200510_075910.jpg
IMG_20200510_075856.jpg
 
Back
Top Bottom